Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

lol! hahahahaha nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa na tabia hii ya kuingia kwenye profile ya mtu hasa wale wenye kupenda kuanzisha questionable threads na mara nyingi niliweza kuwagundua uongo wao.

Nakumbuka, wewe na Watu8 ndo mlionifundisha huu utaratibu, bila kumsahau Tyta.

Wakati mwingine inaboa, mtu unajipinda kutoa ma-point serious kumbe ni joke.
 
alafu atamalizia kusema anaomba ushauri!
Kama kawaida yao mkuu,.....mtu anakuja hapa kuomba ushauri baada ya kumfumania mkewe.....Utafikiri mke ni wa ushirika kiasi cha kuhitaji maamuzi ya wengi.
 
Ni mkeo kweli au ni hadithi!!! Nahisi hamna ukweli hapa angekuwa mkeo ungeshajua la kufanya
 
Siku hizi nikiona thread za "Mke Wangu Hivi" au Mme Wangu Hivi" najikuta kabla ya kuandika chochote napitia profile ya mleta topic kwanza kumwelewa kidogo.

Maana kumekuwa na thread za mzaha sana kiasi ambacho hata anaye maanisha anaweza asishauriwe.
Mkuu uko vizuri na hii inasaidia sana.. na hapa nafikiri umeona picha ya nn mtazamo wangu tangu awali.. kwan ni vitu ambavyo vipo na tunapaswa kutambua namna yakukabiliana navyo.
 
Mkuu huyu ni mke wako hata kama ni shost anamnunulia wewe uko wapi?
Mkuu kumbika sio rahisi kumridhisha binadamu mwenzako 100% hata ujitahidi sana yapo utakayo sahau na zaidi majukumu yakifamilia yanapoongezeka.! Muhimu ni kurifhikana.!
 
Jf siku hizi drama nyingiii.
Mtu anaanzisha uzi lakini kila ukimsoma unaona kabisa huyu hawezi hata kuwa mume wa mdoli.
Matusi sasa haya mkuu.. Kua mume sio kumwangalia mwanamke kama lulu kila saa.. kuna zaidi ya hayo.!
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Wewe nunua kontena zima kawagawie ukoo wake na majini wote.....alafu ukimaliza kunywa maji yanapunguza stress
 
Huenda ikawa wewe ni mmoja kati ya wale wanaume wasiojali mke anahitaji nini na ukamtimizia ndio mana katafuta wa kumnunulia.

Nadhani kwa mawazo yako unajua mke anaridhishwa kwa ngono pekee kumbe hata chupi ya kuvaa ana.
kwa nn umekimbilia kuona kama hamjali ndo maana kanunuliwa chupi nje¿inaonekana na ww ni mwanamke mzinzi ndo maana unatetea uzinzi wa mzinzi mwenzako ungekua mke wangu ningekata hiyo kichwa
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Mkuu mkeo ameshabainisha changamoto zinzamkabili ikiwemo upungufu Wa chupi na bra so ukuiona hivyo ujue changamoto zimepatiwa ufumbuzi na kingine mapenzi mubashara yanaendelea
 
Back
Top Bottom