Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Hivi Wenzetu mbona Mna bahati namna hii?

Una Akili timamu kweli?

Na hali ngumu hivi ya maisha mkeo ananunuliwa chupi 4 na brazia 2 na Mwanaume mwingine halafu badala ufurahi wewe ni kama unalalamika vile.

Mkulu mwenyewe na ubabe wake wote anaenda kuwaomba Wanaume wengine tena wa Uturuki na morocco misaada kwa ajili ya watu karibu mil. 50

Wewe umesaidiwa chupi 4 kwa ajili ya mtu mmoja tu unachukia? [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Aza unazingua kichizi yanii[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Pole sana mkuu, kwa hiyo ukitaka kufanya na mkeo kwa sasa inabidi umvue kwanza chupi alizonunua jamaa inauma sana. Ila wanawake mnadharau sana yaani chupi tuu zinakufanya hadi umtese mmeo
Mkuu wanawake akili zao zinawatosha wenyewe.. Chup anagawa pampuchi wakiachwa wanaaza kuhaha..!

Mkuu tunavua tuu ila dawa yake inachemka!
 
Mke wako Malaya mwenye macho haambiwi ona muulize alikozitoa uone atakachoeleza kisha jipu litumbuliwe
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!

Kusoma hujui, hata picha hujaelewa?
 
Maneno ya uzoefu.. Asante mkuu
Hilo sio suala la kutaka ushaur wakat ushahid wote unao. Ujifunze kufanya maamuzi sahihi kwa wakat muafaka vinginevyo utakuwa bwege
 
Back
Top Bottom