Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Wewe usiwefala kiasiiko.juayakwamba sote wanye wanyewanawake wapamaneti tunalombewa aijulishi tumiowa au tunakaanao kisela.Mimi ninakushauli nawewe mtafute fala umgongee laazivyo fala utakua pekeyako
 
Hayo ni madawa ya kulevya katika mtindo wa chupi, mwite huyo mwanaume haraka mkakutane nae central
Mana anataka kukulia mkeo bila shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi Wenzetu mbona Mna bahati namna hii?

Una Akili timamu kweli?

Na hali ngumu hivi ya maisha mkeo ananunuliwa chupi 4 na brazia 2 na Mwanaume mwingine halafu badala ufurahi wewe ni kama unalalamika vile.

Mkulu mwenyewe na ubabe wake wote anaenda kuwaomba Wanaume wengine tena wa Uturuki na morocco misaada kwa ajili ya watu karibu mil. 50

Wewe umesaidiwa chupi 4 kwa ajili ya mtu mmoja tu unachukia? [emoji23]
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] nimecheka we jamaa lol
 
Acha kupekua pekua simu ya mke wako, utakuja kufa siku si zako kwa ugonjwa wa moyo.
 
Aisee chukua hatua mkuu. Jamaa keshachonga barabara mambo yamekaa mubashara.

By the way vipi majibu ya wife alikubali kama zimemtosha manaake naona hicho kipengele umekiruka (samahani lakini).

Act like a gentleman kaa chini na wife then uyajenge kiutu uzima usikurupuke lakini na hasira zako kutoka hapa jukwaani so just let her know she's acting in a very wrong way & ongea nae in a very friendly way.
Remember that alwayz once a mistake But twice a mistake no more.
Hahaha..! Mkuu kwa majibu aliyompa ni kwamba hajazijaribu..

By the way mkuu me sio mkurupukaji..!
 
Tatizo ni pale ulipodukua mawasiliano yake..ulichokitafta umekipata
Ingia dukani, chukua mix ya nguo za ndani mf chupi, bra, tight,nightwear etc mpe...
 
Sasa kama Ww humpi zawadi kama hzo unafkria akipewa atakataa? Ukimpa Ww mara kwa mara atakuwa hana hamu na hzo za wanaume wengine. Think.....
 
Mkuu Wewe Ni Muuaji..
Tafuta histori ya ukoo wako kama kuna mtu amewahi kuua huko nyuma na kama yupo basi ujue we ndio umerithi..

Yaani Mkeo anunuliwe Chupi ukae kimya na usioneshe tofauti yeyote...
Bila shaka unataka umuue..
 
nimenunuliwa mara nyingi sana pole kwa yaliyokukuta
Asante Mkuu.. ila msipende kua wadhaifu.. kwahiyo wanawake mnagawa pampuchi kwa vitu vidogo vodogo kama hivi.!
 
Sasa kama Ww humpi zawadi kama hzo unafkria akipewa atakataa? Ukimpa Ww mara kwa mara atakuwa hana hamu na hzo za wanaume wengine. Think.....
Me mpaka kuamua kuishi nae nafikiri ni zawadi tosha.. Haoni hao wenzake mtandaoni wanavyo haha kutafta wanaume wakuwaoa.!
 
Back
Top Bottom