Mke wangu anunuliwa nguo za ndani na mwanaume

Papuchi unakula?
Je siku ya kwanza unapewa ulimkuta sealed?
 
Hivi Wenzetu mbona Mna bahati namna hii?

Una Akili timamu kweli?

Na hali ngumu hivi ya maisha mkeo ananunuliwa chupi 4 na brazia 2 na Mwanaume mwingine halafu badala ufurahi wewe ni kama unalalamika vile.

Mkulu mwenyewe na ubabe wake wote anaenda kuwaomba Wanaume wengine tena wa Uturuki na morocco misaada kwa ajili ya watu karibu mil. 50

Wewe umesaidiwa chupi 4 kwa ajili ya mtu mmoja tu unachukia? [emoji23]
Huko ni kupatwa kwa mstaafu labda.
 
Hiyo unafikiri huyu anaweza kua sahihi kwake..?
Sio kwamba yeye ni sahihi kwake bali wewe ndio ukae ujirekebishe unapoona kwa upande wako ulikuwa una mapungufu upaweke sawa.

Hakuna asiyekosea na muda mwingine tamaa huletwa na kutokuwa na uwezo wa unachokitaka hivyo amini akipata anachokitaka ni lazima atatulia tu.
 
kwa style hii sito oa kabisa una chapiwa mke mubashara
 
Ni vizuri kumtafuta aliyemnunulia ukamshukuru sana
 
Usiache mke kwani ndoa ni ngumu sana nowdays ila fanya uchunguzi huenda ukajazaa mtoto sura ya mchepuko.
Tuwenao ila wakitushinda basi mungu kawaleta tele jitahidi ukishindwa vuta mwengine.
Ni bora umuamini mtoto kutembea na pochi la pesa kuliko mwanamke hatari mno kaka.
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
Yaani umeumia mkeo kununuliea chupi tu!!!!

Inaonekana hujui majukumu yako acha wakusaidie.
 
Big Up Mkuu.

Siku hizi nikiona thread za "Mke Wangu Hivi" au Mme Wangu Hivi" najikuta kabla ya kuandika chochote napitia profile ya mleta topic kwanza kumwelewa kidogo.

Maana kumekuwa na thread za mzaha sana kiasi ambacho hata anaye maanisha anaweza asishauriwe.
 
Dah jamaa hajafanya fair kabisa,ndo kashamlaa hvyo..
 
Wiki tatu hujauliza ndio maana watu wanakufa kwa msongo wa mawazo! Mkuu ingekua mimi ndani ya nusu saa ningepata majibu mubashara iwe kidemokrasia ama kidikteta.
 
Dah! Had nakuonea huruma, iv unajua mkeo analiwa na huyo jamaa 100%
Polen mlioko kwny ndoa mi cjui naoa lini
 
lol! hahahahaha nakumbuka miaka ya nyuma nilikuwa na tabia hii ya kuingia kwenye profile ya mtu hasa wale wenye kupenda kuanzisha questionable threads na mara nyingi niliweza kuwagundua uongo wao.

Siku hizi nikiona thread za "Mke Wangu Hivi" au Mme Wangu Hivi" najikuta kabla ya kuandika chochote napitia profile ya mleta topic kwanza kumwelewa kidogo.

Maana kumekuwa na thread za mzaha sana kiasi ambacho hata anaye maanisha anaweza asishauriwe.
 
Wakuu Habarini
Natumai mko poa na zaidi mkiendelea kufuatilia vita dhidi ya dawa za kulevya.

Kwangu mimi nakuja na hili ambalo mpaka sasa silielewi limekaa kaaje, na hili ni baada ya kudukua mawasiliano ya mke wangu na kukuta jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie..

Baada ya siku mbili tatu nikaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudukua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha.

Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na mume / mpenzi wake..!

Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kuwa na vigezo vya kuendelea kuwa mke. La mwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokuwa anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nn.. ?

Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!
na hili unaomba ushauri? Paul makonda ukuje na huku! vijana wanakwenda na unga!! inamaana akiri yako imeshindwa kutafasili mpaka tukutafasilie sisi? aya sasa tukwambie ukweli, mwenzio anagawa nje! na huyo sio mke ni tapeli A.K.A Kahaba.
 
Hivi Wenzetu mbona Mna bahati namna hii?

Una Akili timamu kweli?

Na hali ngumu hivi ya maisha mkeo ananunuliwa chupi 4 na brazia 2 na Mwanaume mwingine halafu badala ufurahi wewe ni kama unalalamika vile.

Mkulu mwenyewe na ubabe wake wote anaenda kuwaomba Wanaume wengine tena wa Uturuki na morocco misaada kwa ajili ya watu karibu mil. 50

Wewe umesaidiwa chupi 4 kwa ajili ya mtu mmoja tu unachukia? [emoji23]
Hahah, Mkuu una maanisha au unamtania jamaa.... 😀 🙄
 
Back
Top Bottom