Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

Mwambie akaolewe na hao waliojenga mambo yasiwe mengi. Lakini kwa upande mwingine inawezekana mkeo ameona unazembea, uwezo wa kujenga unao ila umefocus kwenye mambo mengine
 

Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao.

Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya mimi? Maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi, nyie muliwezaje kujenga ?
Wewe unadeka sasa. Kama unakiwanja hamia kwako.
Utahamiaje wewe ndio unajua.
 
Anza na maombi.... halafu unaanza kujenga kwa awamu, kuna jamaa hapa jirani alikuwa anapandisha block kozi mbili au tatu, watu wanacheka but now kitu imekamilika
 
Nunua tofali 500 mkuu nikujengee Chumba na choo. Kwa kuanza utanunua hata bati used unalaza kawaida unahamia kwako
 
Pole sana, na wewe wasifie wanawake kwa mkeo, ambacho mkeo hana...


Cc: Mahondaw
Mke wake Hana Tako bila shaka, basi awasifie Sana wanawake wenye matako makubwa, hata wakiwa wamelala achukue simu aperuzi picha za wanawake wenye matako na ajisemee Kwa sauti "ila Kuna wanawake Wana matako, huyu akiwa mke wangu hata kuchepuka siwezi"
Akae kimya asikilizie milio
🤣🤣🏃🏃⛹️‍♂️
 
Back
Top Bottom