Mke wangu anawasifu wanaume waliojenga nyumba

mshukuru sana mkeo hapo anafanya hivyo kukufanya upate hasira na munkari ya kujenga haraka usije bweteka kwenye nyumba za kupanga
Sio kweli, she is destroying this man. Mood yake itakata. Au tumulize mtoa mada anajisikiaje mke wake kusifia wanaume wenye nyumba?
 
Mimi nimeoa miaka 6 iliopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao wanajukwaa mliwezaje kujenga Kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya Mimi maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi Nyie muliwezaje kujenga ?
Mr Kilawo unajisikiaje mke wako kusifia wanaume wenye nyumba?
 
Mimi nimeoa miaka 6 iliopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao wanajukwaa mliwezaje kujenga Kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya Mimi maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi Nyie muliwezaje kujenga ?
Anza na tofali moja ndugu yangu , kiwanja ndio kina hitaji hela nyingi za mkupuo tofauti na ujenzi.
1500 bei ya wastani wa tofali moja inatosha kabisa kuanza.

Ila tahadhari sana kwa mkeo, kuna siku niliambiwa kitu kama chako , kwamba vijana wenzako wanapambana hadi wamenumua piki piki wewe upo upo tu!

Haikupita miezi 3 akaolewa na dereva wa piki piki!
 
Hili ni la kuzingatia SANA.
 
Sio kweli, she is destroying this man. Mood yake itakata. Au tumulize mtoa mada anajisikiaje mke wake kusifia wanaume wenye nyumba?
hapana kwa namna gani
we ulitaka ampigie kelele za kumnunulia nguo avunje kabati
au akae kimya azidi kuwa comfortable kwa nyumba ambayo si yake
mood ipi hiyo itakata?
lazima apewe presha za maendeleo asije bweteka
 
Mimi nimeoa miaka 6 iliopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao wanajukwaa mliwezaje kujenga Kwa biashara ndogo ndogo, kama ninazofanya Mimi maana kiwanja kipo tatizo lipo kupata pesa ya kuanzisha ujenzi Nyie muliwezaje kujenga ?

Inawezekana mkuu, muonyeshe njia.

Anzeni kidogo kadri muwezavyo, kuna watu walianza na nyumba ya mbao wakahamia kwao na sasa wana nyumba ya tofali.

Kama kweli yupo serious atawekeza nguvu, kipato na uvumilivu ili kubadili mpaka iwe nyumba yenye hadhi mnayotaka.

Kama hawezi kuanza kwe level ya chini akae hapo mlipopanga mpaka mtakapoweza bila makelele.
 
hapana kwa namna gani
we ulitaka ampigie kelele za kumnunulia nguo avunje kabati
au akae kimya azidi kuwa comfortable kwa nyumba ambayo si yake
mood ipi hiyo itakata?
lazima apewe presha za maendeleo asije bweteka
Naona hujaelewa point yangu.
 
nieleweshe basi
Mke wake ana kila sababu na haki ya kumpush mume wake kufanya maendeleo. Tatizo linakuja njia anayotumia ya kusifia wanaume wengine. Hii itamfanya jamaa kujisikia like less of a man. Hopefully umenisoma.
 
Watu mnasimika
Idea ya jamaa niliwah kuiona sehem fulan jamaa kaitek3leza. Kuna s3hem inaitwa Vianzi, nyumba ya kozi tano jamaa kahamia hivyohivyo choo anatumia cha msikitini. Hata mm idea kama ya jamaa ilishawah kunikutaga nikiwa dar sina mipango yan uhamie tu hata kama kuna msjngi usimamishe makuti uanze moja

So kikubwa sana hapo ni presha inayozalishwa katika muingiliano na watu wanaoukuzunguka
 
Back
Top Bottom