Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,542
- 55,058
Amefika salama?
Anafurahia uhuru wa manyani huko ughaibuni.
Itabidi kule ughaibuni apate mtu wa kumsaidia kupata documents. Mara nyingi ni kwamba aolewe ba jamaa kwa miaka kadhaa. Bila shaka jamaa atakuwa anajishindia bila tabu. Baada ya hapo anakuwa na haki ya kupata uraia/ukazi wa kudumu. Kama bado atakuwa ana ku mind, ndio aombe taraka. Mwishowe ndio akuvute wewe. Unangumzia miaka mitano kwa uchache kabisa. Kumbuka katika kipindi hicho lolote laweza kutokea.
Unatakiwa uwe na moyo mkubwa kustahimili jambo ambalo ni la kujitakia. Ina maana wewe umekuwa house husband siyo? Nyie ndo wale wanaume wapenda dezo msiopenda kujishughulisha ambao mara nyingi mnaishia kuolewa.
Muache aende muombeane na upendo udumu! What if ungeanza wewe kwenda? Ina maana huku nyuma ungemuacha na polisi wamlinde au?
Muamini Mungu na uwe safi usiye na michepuko na Mungu atamlinda mkeo na mabaya yoyote!
Apandacho mtu ndicho avunacho! Kama umewahi kupanda kucheat na wake za watu, tarajia muujiza huu kwa mkeo!
Kama uko safi kula ugali songa mbele Mungu atailinda ndoa yenu
Unataka kusena nini hapo....!
Hakuna lolote,mtu kama ana tabia hiyo hata mkiwa wote anachepuka tuCkuna wabongo wenzie huko..! Siunajua kibongobongo Mtu anaaga kzn anaenda MCBANI kumbe anaenda kugegedwa au Kugegeda Jasiri hajawahi kuacha Asili yake...!!
alichelewa kweli lakn nafikiri hajajutia kufanya hivo. yaan upoteze fursa sabb ya mke/mume!!!
King'asti hebu nisaidie hapo.
hapo ni ishu ya priorities, kipi bora kwako? Familia?Fursa?
hahaha, wewe mtoto acha bhange. mume ana raha yake atii, si unaona love connect vilio kila leo. ndo maana simuachii paw atii
priorities zinategemea na long and short term plans pia. mnaweza kuamua kukosa furaha kwa mwaka mmoja ili mle pepo milele. ni sawa na kumuachia mwenza aende shule (tena kwa kujilipia, asichangie hata kumi home), baada ya hapo mnajua kuna tumaini la kujiongeza kimaisha
Mmmhhhhh jiandae kwa lolotee ndugu,ila kua na imanii labdaa bora we ungeenda