Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

du una roho ngumu ndugu yangu, ama kweli tunatofautiana kwenye kutafuta maisha. aya hongera
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii

aangalie wasije wakafumua marinda yote mana ughaibuni bwana..............!
 
Kwani hayo mabox tanzania hayapo??? aaah ndio mambo nisiyoyataka..... kukaa mbali na mkeo/mumeo kisa kazi!!!! polee bana... kwangu ngumu kumesa... we mesa tuuuu sokomeza kabisa
 
Anakwenda kusoma au kikazi? Kama anaenda kusoma, huna mke
 
hahahahahhh!!!! tabia ya mtu ni kama ngozi. kama ana tabia za ajabu hata akibaki mavumbini anaweza kufanya yake. mie nampa hongera huyu mwanaume kwa kuelewa maisha ni nini na kumuamini mkewe. kuna sist wangu mmoja ilibd tu avue pete. kapata zali nje kampuni ya maana halafu mume hataki kumruhusu. akiangalia mawifi kila kukicha wanamwandama. nani aachie hilo lifursa!!!!

Huyo hakuwa anafaa kuwa mke then.....
 
hehehe, paw ana sukari guru kama diamond😛eep:

ila kama hauogopi :fencing:, basi nunua kabisaa😛ainkiller:😛ainkiller: afu uje.


Ofcoz mkiwa vijana mnawaza kukaa hapo na kuangaliana usoni. umri ukisogea mnaanza kuona wivu wenzenu wana maghorofa hadi mbinguni na nye mna vyumba viwili uswazi, mnapata kichaa paaap!
Inaelekea Paw mtamu, ngoja nije nimtegee walau nimwone kwa macho tu.

Ni kweli long term na short term plans ina matter, lakini kwa ndoa changa sana, afu mna utitiri wa watoto, long distance ndoa ni rahisi kukumbwa na changamoto. Ila mkiweza kuzikabili, basi ndoa hiyo itadumu sana.
 
weraa weraaaaa utake usiatke upande wa pili lazima utobolewee...... ukweli unauma jamani mweh teh teh nicheke mie ninune nina........

Mbona unashabikia sana unataka kuchukua Usukani ama Vipi,una vigezo au unatomboka tu Hapa
 
Back
Top Bottom