Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mmmnh.... Kwangu haiingii akilini..!!

Nimuache mume wangu eti naenda ughaibuni kutafuta maisha....HAPANAAA....!!!!
 
......aaaahhh jamani mbona badala ya kumfariji mna mnanga kaka wa watu?!
dunia hii ya sayansi na tekinolojia, anza sasa ku install apps zote za mawasiliano kwenye simu
yako na yake, sijui Talkray, Whatsapp, Viber, Skype, na mazaga zaga yote.....

ukijiskia roho inauma, kaba kama mpira wa kona....twanga simu na msgs muda wote "kumkeep busy...!"
Hakukatiki umeme kule kusema eti kaishiwa chaji!
 
Jamani mi ughaibuni napaona kwenye tv na story za ndugu waishio huko. Kusema ukweli nilikuwa na hamu haswa baada ya kufahamishwa kuwa kuna malipo mazuri hata kwa ajira zisizo za kitaalamu. Ila sasa hivi hii kasi ya wageni kuja kwetu imekata hamu yangu kabisa na sipatamani kabisa labda kwa dhumuni la kusafisha macho na kutalii ila sio kutafuta maisha. Jamani hivi nipo sahihi
 
Ujinga mwingine hata elimu haiwezi kuutoa. Wewe umeshamuuza mkeo.

The king.

Lolest Kwa hiyo Rose Migiiro alivyoenda Marekani kikazi mumewe alikuwa mjinga siyo,put some sense in your big head,I haven't put clear what she is up to and moreover sijaweka kila kitu wazi humu smh
 
Jamani mi ughaibuni napaona kwenye tv na story za ndugu waishio huko. Kusema ukweli nilikuwa na hamu haswa baada ya kufahamishwa kuwa kuna malipo mazuri hata kwa ajira zisizo za kitaalamu. Ila sasa hivi hii kasi ya wageni kuja kwetu imekata hamu yangu kabisa na sipatamani kabisa labda kwa dhumuni la kusafisha macho na kutalii ila sio kutafuta maisha. Jamani hivi nipo sahihi

You totally wrong
 
Mwache mkeo aende,kugegedwa ni tabia ya mtu,tena anaebaki Tanzania ndo ana probability kubwa ya kuwa na michepuko.uGHAIBUNI sio kama Tanzania muda mwingi upo busy hao wanaume utawaona wapi labda kama ni mtu wa ma club,hivyo mkaka wala usiogope.
 
Ilikuwaje ukaafiki uamuzi huo? Sikuombei mabaya lakini nimeishi mika mi3 ughaibuni kwa ka-experience nilikokapata sijui kama kutakuwa na ndoa tena hapo.

Any way Mwenyezi Mungu aichunge ndoa yenu mkuu.
 
Kwa mlivyomweka waz yani bas tu anatamani amwambie wife asiende but ndo tayri anaondoka
 
Naomba niwe mwenyeji wake kama anakuja huku nilipo...
 
asilimia 99 ni kwamba mna mtihani mkubwa sana... maana umeiweka kama vile anenda kutafuta akipata atakuvuta

kwa taarifa yako tu, ughaibuni is no longer a safe heaven for immigrants.... ni shida tu ukiondoa shopping na infrastructure

sanasana atawekwa ndani kimyakimya wakati anakuandalia makazi, baada ya muda atazoea, atakusahau na atakupotezea... wewe utakua better back home, utasahau utaendelea... labda kimuakie saaana ndio arudi kalini it will never be the same

Ndoa ni zaidi ya kutafuta maisha... and when you trade it at any cost in the name ya kutafuta maisha, ujue unakaribisha kutafuta maisha kuovertake ndoa in priority

nimekupenda bure
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii

Itabidi kule ughaibuni apate mtu wa kumsaidia kupata documents. Mara nyingi ni kwamba aolewe ba jamaa kwa miaka kadhaa. Bila shaka jamaa atakuwa anajishindia bila tabu. Baada ya hapo anakuwa na haki ya kupata uraia/ukazi wa kudumu. Kama bado atakuwa ana ku mind, ndio aombe taraka. Mwishowe ndio akuvute wewe. Unangumzia miaka mitano kwa uchache kabisa. Kumbuka katika kipindi hicho lolote laweza kutokea.
 
Kukuvuta wewe sahau kwani huko mpk aje arekebishe makaratasi atatumika saaaana. Anaweza kukuvuta ila utamkuta na watoto si chini ya watatu kwa baba tofauti.

Kwani huko hakunaga condoms?
 
Mwache mkeo aende,kugegedwa ni tabia ya mtu,tena anaebaki Tanzania ndo ana probability kubwa ya kuwa na michepuko.uGHAIBUNI sio kama Tanzania muda mwingi upo busy hao wanaume utawaona wapi labda kama ni mtu wa ma club,hivyo mkaka wala usiogope.

Ckuna wabongo wenzie huko..! Siunajua kibongobongo Mtu anaaga kzn anaenda MCBANI kumbe anaenda kugegedwa au Kugegeda Jasiri hajawahi kuacha Asili yake...!!
 
Back
Top Bottom