Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

embojo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
175
Reaction score
41
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii
 
Mhhhh!!!! Kwa jinsi ulivyoandika hapa kwa majonzi inaelekea unaweza kudondosha chozi pale JKN Airport, pole zako.

Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii
 
asilimia 99 ni kwamba mna mtihani mkubwa sana... maana umeiweka kama vile anenda kutafuta akipata atakuvuta

kwa taarifa yako tu, ughaibuni is no longer a safe heaven for immigrants.... ni shida tu ukiondoa shopping na infrastructure

sanasana atawekwa ndani kimyakimya wakati anakuandalia makazi, baada ya muda atazoea, atakusahau na atakupotezea... wewe utakua better back home, utasahau utaendelea... labda kimuakie saaana ndio arudi kalini it will never be the same

Ndoa ni zaidi ya kutafuta maisha... and when you trade it at any cost in the name ya kutafuta maisha, ujue unakaribisha kutafuta maisha kuovertake ndoa in priority
 
Back
Top Bottom