upupu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2008
- 614
- 198
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii
Nipe Jina lake na namba yake(whatsup) nitampokea na kukutunzia!!