Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

asilimia 99 ni kwamba mna mtihani mkubwa sana... maana umeiweka kama vile anenda kutafuta akipata atakuvuta

kwa taarifa yako tu, ughaibuni is no longer a safe heaven for immigrants.... ni shida tu ukiondoa shopping na infrastructure

sanasana atawekwa ndani kimyakimya wakati anakuandalia makazi, baada ya muda atazoea, atakusahau na atakupotezea... wewe utakua better back home, utasahau utaendelea... labda kimuakie saaana ndio arudi kalini it will never be the same

Ndoa ni zaidi ya kutafuta maisha... and when you trade it at any cost in the name ya kutafuta maisha, ujue unakaribisha kutafuta maisha kuovertake ndoa in priority

Usifikiri I am fool to that extent,do you know what she is going to do there?do you know when she will be back,kuna mambo Mengi nimeyaweka Sawa tayari nami ntamjoin as soon as possible co ndugu zangu tayari wako huko zamani sana,infanct some of them wanafanya the same activities na yeye Alizofata huko
 
Huna mke hapo..na yeye Likosea sana kuolewa na mume asiye na focus to that extent ..eti akifika akuvute...utaolewa na wewe shauri zako

Hahahaha focus wewe ndo umekosea njia mkuu.unafikiri kila kitu huwa kinawekwa rehani so simple
 
Aisee. Kama umeweza kupata za return ticket mko vizuri tu. Au

Mnatamani maisha ya ughaibuni?
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii

Huyo ni chawote anza kuvua matumaini
 
Wewe mtu una roho ngumu sana.

Kwangu haifanyi kazi hii kitu, hata iweje.
 
Usifikiri I am fool to that extent,do you know what she is going to do there?do you know when she will be back,kuna mambo Mengi nimeyaweka Sawa tayari nami ntamjoin as soon as possible co ndugu zangu tayari wako huko zamani sana,infanct some of them wanafanya the same activities na yeye Alizofata huko

Mbona unajichanganya?Umetuambia akifanikiwa akuvute mara sasa hivi utamjoin so tushike lipi?
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii

Huo UZUZU siwezi kufanya kamwe... wajibu wangu mimi ni kumtafutia yeye na si yeye kunitafutia mimi... ULAYA?? haha labda hujafika ULAYA ndugu yangu maisha kule si lelemama..... for sure na (Allah forbid) umemuuza mkeo... unajua kiwinta cha ulaya weye na wazungu wanavyopenda black .... na hata hawa wanyamwezi wenzetu na jamaa zetu huwagegeda sana dada zao wakikutana huko.....kama anapete ndo keshaivua tayari wewe mchunguze akirudi kama kidole kiki very smooth ujue kaivalia airport wakati anarudi........ umejipa dhimma kubwa sana mbele ya Allah kwa yote yatakayotokea huko.... ngumu kumeza lakini nimekupa live.... ULAYA
 
Back
Top Bottom