Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Hilo linawezekana kabisa, wapo kwenye dunia mbili tofauti mume dunia ya majonzi ya kuondokewa na mkewe, na mke furaha ya kwenda majuu.

tena kama ndio walikuwa na mikwaruzano ya hapa na pale lazma mke awe anachekelea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahhh!!!! tabia ya mtu ni kama ngozi. kama ana tabia za ajabu hata akibaki mavumbini anaweza kufanya yake. mie nampa hongera huyu mwanaume kwa kuelewa maisha ni nini na kumuamini mkewe. kuna sist wangu mmoja ilibd tu avue pete. kapata zali nje kampuni ya maana halafu mume hataki kumruhusu. akiangalia mawifi kila kukicha wanamwandama. nani aachie hilo lifursa!!!!
Tena huyo sst wako alichelewa kuivua.. Sema ndio hivyo atamegwa megwa kiholela sanaaa
 
Kwa hiyo thread yako ina mafumbo?i imean umeileta nusu nusu. Sasa kama ndugu zako wapo huko kwa nini wasikuvute wao ungoje hadi mke wako aende atafute maisha ili akuvute?
Dont try to fool us... Hapo mke huna tena.. Tunakuambia hivi tunayajua maisha ya Ulaya.

taratibu ivuga. jamaa asije akaenda mfichia mkewe visa na passport bure na ticket ya ndege aichane.
 
taratibu ivuga. jamaa asije akaenda mfichia mkewe visa na passport bure na ticket ya ndege aichane.

Hakuna haja ya kumficha, yeye katumia busara hajatuficha.. Na akumbuke kuwa % kubwa ya wana JF wapo ughaibuni
 
hapo ni ishu ya priorities, kipi bora kwako? Familia?Fursa?

Kongosh wewe umeshindwa kuelewa kitu kimoja, kuna kero zingine hazivumiliki
I am not a lady ila kero za mawifi wa kiswahili ni shida.
 
Kukuvuta wewe sahau kwani huko mpk aje arekebishe makaratasi atatumika saaaana. Anaweza kukuvuta ila utamkuta na watoto si chini ya watatu kwa baba tofauti.
Katika michango yote kwenye hii thread huyu babu kijana anaweza akawa ndie katabiri ukweli wenyewe
 
hapo ni ishu ya priorities, kipi bora kwako? Familia?Fursa?

kwani ukiwa ughaibuni familia ndio unaipoteza? unaweza daka fursa na bado ukaendelea vema tu na familia yako. au mnataka ile ya kulala pamoja na kuamka pamoja?
 
Mkuu hii thread yako ni Kama fumbo haiko straight ni vigumu Mtu kukushauri kitu ndo mana kila ushauri unaona uko kinyume na kilichoko kichwani mwako, ila general advise hapa ni tanguliza imani mbele trust her Kwa anachoenda kufanya na amini kwamba atafanya na kuwa mwaminifu nanyi mtafanikiwa epuka negative thoughts
 
Kongosh wewe umeshindwa kuelewa kitu kimoja, kuna kero zingine hazivumiliki
I am not a lady ila kero za mawifi wa kiswahili ni shida.

kero za mawifi noma!! bora mie nna mashemeji tu. lol! ila mtoa mada ajichunguze kwakweli, kama hakuwa na maelewano mazuri na mkewe au mkewe hakuwa na maelewano na mawifi kuna uwezekano mkubwa bidada asigeuke nyuma kama wadau walivyochangia. hapo anaweza akawa amepata fursa ya kula gud tym na jibabu la kizungu
 
kulala pamoja na kuamka pamoja kuna faida yake.

Lakini mwisho wa siku, ndoa haina fomula. Wapo wanaoishi mbali na ndoa ikazidi kuimarika.

kwani ukiwa ughaibuni familia ndio unaipoteza? unaweza daka fursa na bado ukaendelea vema tu na familia yako. au mnataka ile ya kulala pamoja na kuamka pamoja?
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii
-ulitafakari sana maana yake mwanzoni ulikuwa hutaki aende kwa sababu nafsi ilikuwa ishajua kuwa huko aendako ni majanga matupu.
-ati umemruhusu akapiganie maisha? Ndugu yangu ulaya hakuna maisha tena. Huyu ataishia kulishwa bata na wajanja tu basi.
-hata kama wivu huna ila kwa ukweli tuliokupa kwneye hii thread itabidi wivu uwe nao tu kwa sababu ulikuwa hujui hali halisi ya ulaya
 
Yani jumlisha zote .. You never know kibamia kilihusika pia . Muite Husninyo hapa alete maelezo yaliyokamilika.

hapo nasema kila mtu ana sabab zake za kuoa/olewa ila kuishi na mtu mliekutana ukubwani wakat kila mtu alilelewa malezi tofauti na mwenzie, kila mmoja na tabia zake si kazi ndogo ati.
 
Last edited by a moderator:
kero za mawifi noma!! bora mie nna mashemeji tu. lol! ila mtoa mada ajichunguze kwakweli, kama hakuwa na maelewano mazuri na mkewe au mkewe hakuwa na maelewano na mawifi kuna uwezekano mkubwa bidada asigeuke nyuma kama wadau walivyochangia. hapo anaweza akawa amepata fursa ya kula gud tym na jibabu la kizungu
Hilo jibabu la kizungu si mpaka alipate, kama mkewe ni kimodo hapo atapata jibabu la kizungu ila kama ni ana mttako kama kasingiziwa ajue hiko kitakuwa chakura ya wakongoman na wanaija
 
kulala pamoja na kuamka pamoja kuna faida yake.

Lakini mwisho wa siku, ndoa haina fomula. Wapo wanaoishi mbali na ndoa ikazidi kuimarika.

ewaaaaahhh!!! hapo mwisho umeconclude vema. ujue kuna wanaume wengne ni wazuri ukiishi nao mbali. kuna zile kero ndogo ndogo nyingi tu utaziepuka na hivo kuzidi kusonga mbele. ndoa haina formula kabisa.
 
hapo nasema kila mtu ana sabab zake za kuoa/olewa ila kuishi na mtu mliekutana ukubwani wakat kila mtu alilelewa malezi tofauti na mwenzie, kila mmoja na tabia zake si kazi ndogo ati.

Sister alikimbia kero za mawifi ama kero za mkubwa mwenzie? Mwenza
 
Back
Top Bottom