Mke wangu amesema amenichoka, amechoka na anaomba nimpe nauli aende kwao

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabisa

Leo asubuhi mke wangu amenitamkia amenichoka, amechoka na anataka kurudi kwao na amesema anataka nimpe nauli.arudi kwao huko bariadi ila siku kadhaa alimtumia mtu picha zake mwanaume fulani huko kwao na alikua ana msisitizia huyo mwanaume aoe mwanamke wa kanisani aiseee na pia akawa anamwambia kama mwanaume amenichoka nipite huku aiseee

Natafuta mbinu nimpige chini na kiukweli nimemchoka kabisa
 
Niaje wana gwan?

Aisee maisha ya ndoa ni kichefu chefu aisee na yanakera na kuchukiza kabisa aiseee ni very streful kabisa wakuu usikubali ushauriwe kuhusu mahusiano au ndoa maana ni kichefu chefu kabis...
Duh yaani leo tu nyuzi za matatizo ya ndoa ni 5 hadi muda huu watu wamechokana maisha yamekuwa na presha sana..

Nilitaka nilete uzi wangu pia ila nimeghairi nitamkabili mtu wangu kimyakimya ila lazima atapike nyongo mshamba sana mwanamke huyu.

Bora niishi single tu.
 
Sasa endelea kumng'ang'ania akupige matukio.

Mwanamke akikuchoka ana uwezo wa kukuvumilia. Ndoa nyingi ikiwemo za wazazi wetu walishachokana ila walistahamiliana.

Ukiona mwanamke anakwambia amekuchoka na kutaka kuondoka kabisa elewa kuwa tayari keshapata mbadala wako.

Sasa jifanye king'ang'anizi ugeuke kuwa mchepuko kwa mkeo mwenyewe.

Kwenye maisha inafikia wakati kuacha mtu aende ndio busara na chaguo pekee.
 
Ngoja akuwekee simu ufe ndo utapata akili.
Kwani mmezaliwa tumbo Moja? Katika ujinga utakaokufjarimu maisha Yako ndiyo huo,mtu hakutaki bado unakaa nae wa Nini,Kuna jamaa aluombwa talaka na mkewe hivyo hivyo hapa mtaani,akakataa,
Kilichofuata mkewe alienda serikali ya mtaa akapeleka malalamiko mmume wake anamlawiti anataka talaka amechoka kulatiwa kila siku,aibu tupu jamaa ikabidi amuache.
Sasa wewe endelea kulazimisha mapenzi tu
 
khaaaah
 
Back
Top Bottom