Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Tafuta wa kwako huyo mwachie majini mahaba! Ila mkuu utakuwa huna nguvu katika maombi!
 
Mshukuru sana Mungu wako kwa hili na anua tanga usonge mbele.. Mlikutana falme mbili tofauti.. Ukashinda vita ya kwanza lakini hapo kati ukajisahau kidogo wamerudi na kuchukua chao...!!! Usijaribu kupambana tena.. Kubali yaishe lea wanao maisha yaendelee usijaribu kabisa kupambana tena! WAMEJIPANGA..!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
usipochukua huu ushauri bora uuawe
 
Mahari is overrated ..cha msingi ni upendo baina ya watu wawili, Hio mahari ni swala la ziada na isionekane mwanaume hajielewi .. wengine wanajipanga.. watu wametoa mamilioni kama Mahari lakini hizo ndoa saivi zipo ICU.

Sawa,hayo ni maoni yako
Maoni yangu mahari sio overrated...na kujipanga kwa miaka 8 kwangu sio sawa

Suala la mahari na ndoa kuwa ICU ni mambo mawili tofauti,yasiyohusiana
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
habari yako haipo kamili na inatuwia vigumu kukushauri
 
Ni mtihani sana.
Hakuna changamoto isiyokua na sababu....ila hu Binti niliamua kabisa nikaenda kwao....baada mama mkwe aniambia nimsaidie na shemeji yangu wa kike hivyo niishi na shemeji yangu wa kike kwangu Tena chini ya uangalizi wangu.....tulikubaliana ni niwafungulie kazi..nikafungua duka laviatu...akashindwa. ..mpango ilikua tufungue mgahawa wa chips na chakula nikanunua Kila kitu nikaweka ndani....nikampeleka ajifuze kutengeneza juice na kupika chakula....huko ndiko bala lilipoanzia....maana alikua analipa mshaara waka huohuo anaendelea kujifunza........kweli kama hautambuliki ukweni inawezekanaje mama mkwe akupe na mashemeji ukaenao......duh. Nakubali kweli nimekosea....ila. Wakati na kutana naye kwakweli sikua nimesimama kiima kama hivi leo......nilikua mtoto kiroho........hadisi ni defu sana....
 
Una haki ya kusema hivyo ila ukweli Mungu anawajua walivyo wake ...huwezi kumtambua aliyeokoka Kwa macho....
Mimi sikuhukumu anayehukumu mi Yesu pekee ....nachokushauri zidisha maombi funga omba sana Mungu atakupa majibu
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Huyo achana nae, tafuta mwingine mcha Mungu wa Israel
 
Sawa,hayo ni maoni yako
Maoni yangu mahari sio overrated...na kujipanga kwa miaka 8 kwangu sio sawa

Suala la mahari na ndoa kuwa ICU ni mambo mawili tofauti,yasiyohusiana
Dada jitaada nilimuonesha na nimeshajipanga Kwa maari....na aliondoka anajua kabisa ....ila mara ya Kwanza nilikua nikimushirikisha swala la maari nakua sipati hela ....ila niliongea na wazazi wake ndio wakaniambia Cha kufanya....sijui aljuaje yeye .......kama nikipata nafasi nitaleta storie kamili mwanzo mwisho.....kwakweli maisha yalikua ni balaa.....sana..
 
Nilitamani nisimtafute ila najikuta tu namtafuta mwenyewe ila yeye hanitafutii....sijui hii imekaaje........mama yake aliniambia niende tuyamalize pia sijui imekaaje ......hivi...ni halali kwenda kweli? Na mama mkwe anasema niende maana baba alifarikig hivyo amebaki na mama tu ....
 
Sawa,hayo ni maoni yako
Maoni yangu mahari sio overrated...na kujipanga kwa miaka 8 kwangu sio sawa

Suala la mahari na ndoa kuwa ICU ni mambo mawili tofauti,yasiyohusiana
Mahari ni utamaduni wa kizamani ...mathalani kwa mahari ambayo anapokea Mzazi..jamii za walioelimika washaachana na huo mfumo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom