Bro huyu Binti inaonekana alinishambulia sana ila Mungu alinisaidia....chaajabu hataki kunitafuta ila inaonekana Kuna watu anawasiliana nao kuuliza habari za watoto...... Mimi nina karama ya uchungaji...na karama yangu ni kuombea watu...na huwa wanapona kabisa.....sijui ni kipimo au......Kila nikitaka kuacha roho inakataa kabisa ...ni nikijaribu kutongoza mwanamke mwingine roho inauma balaaMshukuru sana Mungu wako kwa hili na anua tanga usonge mbele.. Mlikutana falme mbili tofauti.. Ukashinda vita ya kwanza lakini hapo kati ukajisahau kidogo wamerudi na kuchukua chao...!!! Usijaribu kupambana tena.. Kubali yaishe lea wanao maisha yaendelee usijaribu kabisa kupambana tena! WAMEJIPANGA..!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Broh inaonekana hujui bibliaUmeokoka unampenda Yesu huku ulikua unazini kila siku?
Sasa hata mahari hujalipa hiyo imani ya kikristu imeunganishwa vipi?Nifafanulie boss maana Imani yetu ya kikristo hairuhusu kuachana hata kukiwa na uzaifu
yesu ameshindwa kukusaidia sisi tutawezeje?Habarini wakuu.
Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .
Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.
Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.
na Binti alianza kuomba vizuri sana ..
.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..
..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo
mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..
Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena
NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au
Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Wewe haujui barua imepokelewa na imejibiwa changamo inaazia pale nilipojibiwa na nilipoambiwa Cha kufanya na kiasi Cha kutoa ...na tarehe ilipangwa ....hapo ndio balaa lilipoanziaSasa wewe,unadai umeokoka na sijui Yesu:
1. Kanisani kwenu huko na kwa walokole wengine,hujaona mwanamke?
2. Kama kweli ulimpenda,akakupenda,mlipata baraka za wazazi! Unajua,mtu mzima akikwambia acha,itakuuma lakini tafakari,kwa nini amenizuia!? Kama ungekuwa umempa mimba ningekuelewa. Ila tu mmebebana na kuishi!
3. Haya,ukagundua ana majini! Ukajidai unajua kuomba. Maombi yamekusaidia nini hapo?! Si kukuongezea tu shida!
Umezaa nae mara mbili,hujajiongeza,pengine hata ukweni hutambuliki. Kwani, kama tatizo ni mahali,si ungekopa tu! Au ungewashilikisha hata vijana wenzako wakachanga changa ukapata!
Je,iwapo wazazi wa mwanamke hawakufurahia kitendo cha kuishi na mkristo?
Iko hivi,ni wazi ulilazimisha na ukweni walikuwa hawakutaki,na hata mahali yako wasingepokea.
Af, unadai kwamba uliona meseji kama ana mwanaume mwingine(hata mama yako lazima alikuwa na mchepuko),hutakaa uone mwanamke mwenye mme mmoja. Sahau. Sasa,hio meseji ndo yalikuwa hayo majini,huyo mwanaume ndo alimtorosha,ndo aliibua majini tena?!
Kama watoto ni wako unawakubali,we lea wanao,mambo ya wanawake achana nayo.
Nmetukana kimoyo moyo 😂yesu ameshindwa kukusaidia sisi tutawezeje?
Yesu anakuona ujue. Dhambi zako mwenyewe😅😅Nmetukana kimoyo moyo 😂
Kwakweli hii ilikua vita na Bado ni vita....siwezi kujilaumu maana.....Mungu anajuaSasa hata mahari hujalipa hiyo imani ya kikristu imeunganishwa vipi?
Upo sahihi Mshana na Biblia ipo wazi kuwa "Pepo mbaya amtokapo mtu huzunguka pasipo na maji na baadaye huamua kurudi kwenye nyumba yake. Huchukua wengine saba na hali ya mtu yule huwa mbaya kuliko hali ya kwanza"Mshukuru sana Mungu wako kwa hili na anua tanga usonge mbele.. Mlikutana falme mbili tofauti.. Ukashinda vita ya kwanza lakini hapo kati ukajisahau kidogo wamerudi na kuchukua chao...!!! Usijaribu kupambana tena.. Kubali yaishe lea wanao maisha yaendelee usijaribu kabisa kupambana tena! WAMEJIPANGA..!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshukuru Mungu kwa hilo endelea na maisha.Kwakweli hii ilikua vita na Bado ni vita....siwezi kujilaumu maana.....Mungu anajua
Wewe umekaa na binti wa watu halafu unasema mwezi wa pili ndio unaegemea kutoa mahaliHabarini wakuu.
Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .
Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.
Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.
na Binti alianza kuomba vizuri sana ..
.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..
..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo
mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..
Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena
NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au
Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
😅 nshasamehewa muda maana hata hili liliandikwa kuwa litatokeaYesu anakuona ujue. Dhambi zako mwenyewe😅😅
Maisha ni kuchagua tu. Kama unataka maisha ya purukushani leo yupo kwako mnacheka kesho ana majini yupo kwao una stress, basi endelea kupambania kombe, ila kama hupendi purukushani basi huyo keshajiondokea mwenyewe tena kwa amani kabisa wala hana tatizo na wewe na wazazi wake hawana tatizo ma wewe, wewe fanya maisha yako basiHabarini wakuu.