Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,413
Reaction score
111,804
Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?

Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.

Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
 
😂 Mkuu, hapa tatizo si harusi tu, ni jibu ulilompa. Huenda alitegemea kusikia mipango ya karibu na ya pamoja, wewe ukamjibu kama mkutano wa Zoom.
Mfuate, mtulize na umwambie ulikuwa unatania/ulijibu vibaya. Usiruhusu begi lifike mlangoni. 😄
 
Niliona nimwambie tu ukweli mkuu, au nimekosea??
 
Mwache aende.
Asiporejea kausha.

Akirejea; tutakupa mipango kabambe. Kamwe hataondoka tena.
 
Mchumba ako yupi au yule mwenye komwe la mviringo kama kabichi.
Kama ni yule muache aende
Huyu hapa mkuu...
downloadfile-2.webp
 
Mwache aende.
Asiporejea kausha.

Akirejea; tutakupa mipango kabambe. Kamwe hataondoka tena.
Siwezi kuacha aende mkuu, maana nampenda hadi nahisi ashanitengeneza..😪
 
Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?

Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.

Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Mpaka ugombane na mchumba wako kwani huwa mnafanya nini kama sio wazinzi?
Mana mchumba anatakiwa kuwa kwao na wewe kwenu, sasa hapo mnagombanaje!?
 
Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye?

Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao.

Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni.
Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
Vipi unapigaa 🫩🫩
 
Back
Top Bottom