Nifafanulie boss maana Imani yetu ya kikristo hairuhusu kuachana hata kukiwa na uzaifuBora abaki kuwa mzazi mwenzako.
Mshukuru sana Mungu wako kwa hili na anua tanga usonge mbele.. Mlikutana falme mbili tofauti.. Ukashinda vita ya kwanza lakini hapo kati ukajisahau kidogo wamerudi na kuchukua chao...!!! Usijaribu kupambana tena.. Kubali yaishe lea wanao maisha yaendelee usijaribu kabisa kupambana tena! WAMEJIPANGA..!!!!Habarini wakuu.
Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .
Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.
Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.
na Binti alianza kuomba vizuri sana ..
.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..
..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo
mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..
Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena
NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au
Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Hana huo ubavu trust me.. Hii ni vita ya Kiroho ya falme mbili tofautidawa ya moto ni moto.. najua ushanielewa
Niambie boss...ukweli nilimpenda japo pia alikua na kasoro kwenye k. Alikeketwa hivyo pia ukishiriki nae tendo ni kama gogo....ila niliamua kukaa nae hivyohivyo.....maana niliona matatizo mengine hayako chini ya uwezo wake ....na nilitaka awe wangu wa maisha kulinda heshima yangu...pia sikutaka watoto wangu wawe kwenye mazingira ya kutokuonana na baba na mamadawa ya moto ni moto.. najua ushanielewa
Ni kwel kbsa..Hana huo ubavu trust me.. Hii ni vita ya Kiroho ya falme mbili tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Katoe sadaka kanisani, mkeo asili yake ni wapi?Habarini wakuu.
Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .
Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.
Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.
na Binti alianza kuomba vizuri sana ..
.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..
..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo
mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..
Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena
NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au
Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Hivi wewe unamjua mungu wa hao watu! Mungu wa wakristo na mungu wao ni tofauti! Huwa mnachukulia poa! Eeeeh! Sasa ona! Maandiko yanasema: "Kwavile umeyakataa maarifa, mimi nami nimekukataa" Hujue hayo mashetani yatakurudia na kukusumbua! Achana naye na kwavile hujalipa mahari acha kabisa lea watoto wakoHabarini wakuu.
Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .
Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.
Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.
na Binti alianza kuomba vizuri sana ..
.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..
..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo
mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..
Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena
NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au
Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Umeokoka unampenda Yesu huku ulikua unazini kila siku?Habarini wakuu.