Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Hayo ni maneno ya Mtume Paulo na anasema kabisa anasema yeye wala si kwa Kinywa cha Bwana.
Nawe umesimamia andiko hilo,
Vipi hili?
2 Wakorintho 6
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?

15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?

16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike.
Natamani nimuongezee nondo hapo.
 
SHUPAZA SHINGO UJIONEE SASA UTAKAVYODATA KWA KUTUPIWA MASHETANI! UTAJUTA KUJIFANYA MCHUNGAJI KOKO!!

nakuletea kwa tafsiri tofauti,
1 Wakorinto 7: 15 nao unasema...

Hata hivyo, ikiwa yule asiyeamini anataka kumwacha mwenzake aliye Mkristo, basi, na amwache tu. Hapo huyo Mkristo, mume au mke, atakuwa huru. Maana Mungu amewaiteni nyinyi muishi kwa amani.

Lakini kama yule asiyeamini akijitenga, basi afanye hivyo. Katika hali kama hiyo mwanamke au mwanaume aaminiye hafungwi, kwa sababu Mungu ametuita tuishi kwa amani.

Lakini yule asiyeamini akiondoka, na aondoke. Hapo huyo ndugu mume au ndugu mke hafungiki. Lakini Mungu ametuita katika amani.

NAMALIZA KWA KUSEMA "UNACHOKITAFUTA UTAKIPATA, KWA KUJUA AMA KUTOKUJUA, KWA KUPENDA AMA KUTOPENDA."
 
Kuna Dada mmoja mchepuko wa Mtu kumbe pembani ana jamaa yake mwingine, siku moja akafumaniwa akapigwa akajifanya kupandisha mashetani akawa anaongea vitu ambavyo havieleweki kumbe ni ujanja ujanja tu.
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
PIGA CHINI WEWE !!.

tafuta Mrokole mwenzio ambaye atakupenda na kupenda wanao.
 
Alafu unasema kapotea kimazingara??.

Kabeba Kila kitu chake, kaenda kwao, kukuambia ameanza kuswali.

Wewe huoni kua, Yule Bwanake ni Muislam??.

Katika Wanawake ambao ni Huwa ni rahisi kuacha Ndoa na kufuata Ndoa ni WAISLAM.

Dini yao haikuwapa THAMAN Wanawake, kwao mwanamke ni Chombo Cha STAREHE unachoweza kukibadilisha anytime.

Ndio maana ni rahisi mwanamke wa kiislam kushea Bwana.

Ni rahisi pia mwanamke wa kiislam kuliwa na wanaume wengi wengi.

Kwao Huwa hawatii Moyo na Akili.. wao ni maamuzi tu.
 
Mshukuru sana Mungu wako kwa hili na anua tanga usonge mbele.. Mlikutana falme mbili tofauti.. Ukashinda vita ya kwanza lakini hapo kati ukajisahau kidogo wamerudi na kuchukua chao...!!! Usijaribu kupambana tena.. Kubali yaishe lea wanao maisha yaendelee usijaribu kabisa kupambana tena! WAMEJIPANGA..!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
asiposikia hili hapa anatakuwa amebakisha 2% akamilike kuwa kenge ili atoke damu masikioni.
 
Alafu unasema kapotea kimazingara??.

Kabeba Kila kitu chake, kaenda kwao, kukuambia ameanza kuswali.

Wewe huoni kua, Yule Bwanake ni Muislam??.

Katika Wanawake ambao ni Huwa ni rahisi kuacha Ndoa na kufuata Ndoa ni WAISLAM.

Dini yao haikuwapa THAMAN Wanawake, kwao mwanamke ni Chombo Cha STAREHE unachoweza kukibadilisha anytime.

Ndio maana ni rahisi mwanamke wa kiislam kushea Bwana.

Ni rahisi pia mwanamke wa kiislam kuliwa na wanaume wengi wengi.

Kwao Huwa hawatii Moyo na Akili.. wao ni maamuzi tu.
The Jackal mwenyewe by the way kule mtaa wa Rickboy hamna mpya mzee wangu hata ulioipata kmepoa sana
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...

Wanawake wa kubadilisha dini wanasumbua sana!!

Kuna mdau wangu wa karibu sana anahangaika na wake alimbadilisha kutoka Ukristo akawa Muislam, sasa hivi karudi tena Ukristo!! Anatafuta namna ya kumpiga chini bila vurugu!!

Achana nae huyo tafuta mnayeendana tu!!
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Mkuu hapo hakuna Cha majini Wala mazingara, hivi unakaaje na mwanamke miaka 8 bila ndoa, hata shetani usimlaumu jilaumu mwenyewe kwa kushindwa kumdhibiti, nyinyi mulikuwa munaishi Kama mtu na demu wake tu sio mkeo ndio maana ana haki zote za kuondoka hapo kwako, hata mwanamke awe mwema kiasi gani au mwanamme awe mwema kiasi gani migogoro ni Jambo la lazima kwenye mahusiano, munapofunga ndoa inakuwa ibilisi mumemuweka mbali kiasi fulani, ikitokea kuachana hamtoachana kienyeji namna hiyo, taratibu lazima zifuatwe, Cha msingi shukuru mungu tafuta mgalatia mwenzio umuoe usirejee kosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom