Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Nifafanulie boss maana Imani yetu ya kikristo hairuhusu kuachana hata kukiwa na uzaifu
Wewe ni mkristo wa imani gani? Kwali mlifunga ndoa? Maana umesema hujatoa hatavmahari sasa huyo kikristo ni mkeo? Ninyi ni wachumba sugu tu. Kwa imani yako uchumba ni ndoa? Hauvunjiki?
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Umeokoka na ukaishi naye miaka 8 bila ndoa na watoto mkazaa.

Ushauri wangu wa kwanza, piga goti nikuongoze sala ya toba
 
Upo sahihi Mshana na Biblia ipo wazi kuwa "Pepo mbaya amtokapo mtu huzunguka pasipo na maji na baadaye huamua kurudi kwenye nyumba yake. Huchukua wengine saba na hali ya mtu yule huwa mbaya kuliko hali ya kwanza"

Huyu mtu alishashinda ila akajikwaa na kurudi nyuma kulikopelekea kuruhusu mashambulizi mapya ya hayo mapepo ila bado anayo nafsi tena ya kumuombea na kuyang'oa hayo mapepo kwani uwezo, mamlaka na silaha bado anazo mkuu wangu.
Nimependa ushauri wako
 
Bro huyu Binti inaonekana alinishambulia sana ila Mungu alinisaidia....chaajabu hataki kunitafuta ila inaonekana Kuna watu anawasiliana nao kuuliza habari za watoto...... Mimi nina karama ya uchungaji...na karama yangu ni kuombea watu...na huwa wanapona kabisa.....sijui ni kipimo au......Kila nikitaka kuacha roho inakataa kabisa ...ni nikijaribu kutongoza mwanamke mwingine roho inauma balaa
Wewe ndo una majini
 
We mkristo (mlokole) yy mwisilamu? Sema hii haina shida sana

Ulifuma sms ya mwanaume mwngn....red flag

Unasema alikua amekeketwa? Alikua gogo? Ulikua unamvumilia? Heeeh🤔

Ulikua unampelekaga kanisani? Saiv amerudi kanisani?

Hivi ulisema we ni mlokole????

Mkuu we ni tatizo binti wa watu hana shida
 
1. Kimila Sio Mkeo.
Kisheria sio mkeo ndio maana huna nguvu naye hasa akiwa mzima nawe ukiwa mzima.

2. Mkeo anakunyima mchezo sababu ya huyo jamaaake kama ilivyoripotiwa.

3. Mwanamke akirudi kwao achana naye. Tafuta mwingine.

4. Watoto akitaka Mpe.

Kulazimisha kumrudisha ni kuongeza matatizo.
Huyu jamaa hana akili hata ukienda kwa dini yake ,kufanya huo uzinifu miaka 8 ndio kukuza hayo mapepo machafu..

Eti kaokoa kuna tatizo sehemu?
 
Kuna dada namfahamu alikuwa ameolewa tulikuwa tunajua ana mashetani kumbe anaigiza😂😂
akiyapandisha anakua ka kichaa halafu anakimbia anapotea ata siku 2
khee kumbe alikua akipotea ivo anaenda kwa baby wake anayempenda baadaye ikaja kujulikana
 
Kuna dada namfahamu alikuwa ameolewa tulikuwa tunajua ana mashetani kumbe anaigiza[emoji23][emoji23] akiyapandisha anakua ka kichaa halafu anakimbia anapotea ata siku 2 khee kumbe alikua akipotea ivo anaenda kwa baby wake anayempenda baadaye ikaja kujulikana
[emoji24]
 
Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala.

Hebu weka na maandazi kabisa, huku nilipo bado ni asubuhi chai kavu haipandi...
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Usimuoe mwanamke asiyeamini na asiokoke kwa kigezo tu aolewe. Pia hapo nachelea kusema ndugu yangu rudi magotini uombe toba,wokovu haupo hivyo.
Ukiokoka inatakiwa ufuate taratibu za kuoa sasa wewe uliiba,ukaendelea na uzinifu wakati huo hata wazazi wake hawajapata chochote toka kwako.
Huo ni mpango rasmi wa wazazi kumwozesha binti yao, wameona hauko serious,miaka 8 unaendelea kumzalisha bila kumuoa?.
Hapana aiseeh
 
Unamuita mke hata mahari hujatoa ndani ya miaka nane...eti ulipanga kutoa mahari mwezi wa pili mwaka huu [emoji57]

Hata ningekuwa mie ningerudi zangu msikitini,mwanaume/mwanamke asiyejielewa ni mzigo
Mahari is overrated ..cha msingi ni upendo baina ya watu wawili, Hio mahari ni swala la ziada na isionekane mwanaume hajielewi .. wengine wanajipanga.. watu wametoa mamilioni kama Mahari lakini hizo ndoa saivi zipo ICU.
 
Kwanza kwa imani yako wew sio mchungaji wala haufai kuw kiongozi ...Karama yako ya kichungaji ni sawa na uganga kwa sababu unaendea mambo machafu haswa mapepo machafu inawezekanaje ukae na mtu miaka 8 mnazini tu?

Wewe ni mfuasi wa shetani kupitia uzinifu tena unamtukuza bila ya kujua..Kulikuwa na haja gani ya kumfuata binti ambaye ni imani tofauti?
 
Back
Top Bottom