Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

mama yangu mpendwa sana Joannah , Mungu akubarik sana...

ndoa ni mpango mtakatifu wa Mungu tangu mwanzo,
Ujumbe mwema sana utokao kwa baba, yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe.

Tutafanya mafundisho kidogo ya ufahamu na uelewa juu ya ndoa,
na kisha tutamuongoza sala ya toba mpendwa katika familia ikimpendeza..

wanandoa ni muhimu sana watoke au waungane na kua familia moja ya Mungu..

Mara nyingi tumepata changamoto kubwa sana ya kufungisha ndoa mseto ambazo saa zingine ni kama kuwafungisha ndoa Hamasi na Israel ambayo inakua ni sawa na kuchochea moto wa kuni mbichi,

kwakweli ni ngumu sana
🤣🤣🤣🤣Duh we ni kanjanja sana.... hukosagi majibu
 
Niambie boss...ukweli nilimpenda japo pia alikua na kasoro kwenye k. Alikeketwa hivyo pia ukishiriki nae tendo ni kama gogo....ila niliamua kukaa nae hivyohivyo.....maana niliona matatizo mengine hayako chini ya uwezo wake ....na nilitaka awe wangu wa maisha kulinda heshima yangu...pia sikutaka watoto wangu wawe kwenye mazingira ya kutokuonana na baba na mama
Sikia nikwambie
1.km kweli alifunguliwa km unavyosema, basi yamerudi Kwa kutumia mlango huo wa uzinzi baada ya kumfuma kuwa ana mtu!shtani haingii mahali bila mlango.
2.hakufunguliwa 100%, ila Kwa sbb we ni muombaji yalikuwa yanakosa nguvu, access sbb madhabahu(nguvu) uliyokuwa nayo wewe ndani yako ni kubwa kuliko ya kwao,yaani Mungu wako mkuu kuliko wa kwao!.
3.huyo ametoka madhabahu inayoruhusu polygamy,so ulitakiwa u deal na hiyo madhabahu kwanza , either Kwa kumtoa yeye(hii ni rahisi) , au Kwa kubomoa hiyo madhabahu (hii lzm uwe umeiva na unaenda Kwa maelekezo kama Gideon, Waamuzi 6)
4.uhalali,ukiona mtu unamuombea lkn hayo maroho yanarudi ujue Kuna uhalali wao hawapo tu kienyeji manaake Kuna agano hapo!
Ss kuvunja agano lzm ujue liliifungwaje!

So ni issue ya maarifa tu!
Lkn pia kuwa makini na huko kwao wasije wakaua ulichobeba bure

Hiyo ni Kwa ufupi.
Joannah Lamomy Tlaatlaah Missy Gf

Haya mwambieni aje church
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom