Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Upo sahihi Mshana na Biblia ipo wazi kuwa "Pepo mbaya amtokapo mtu huzunguka pasipo na maji na baadaye huamua kurudi kwenye nyumba yake. Huchukua wengine saba na hali ya mtu yule huwa mbaya kuliko hali ya kwanza"

Huyu mtu alishashinda ila akajikwaa na kurudi nyuma kulikopelekea kuruhusu mashambulizi mapya ya hayo mapepo ila bado anayo nafsi tena ya kumuombea na kuyang'oa hayo mapepo kwani uwezo, mamlaka na silaha bado anazo mkuu wangu.
Bro umeongea viruzi nafanyaje na wakati Yuko kwao je nijipendekeze au nifayeje
 
Wewe haujui barua imepokelewa na imejibiwa changamo inaazia pale nilipojibiwa na nilipoambiwa Cha kufanya na kiasi Cha kutoa ...na tarehe ilipangwa ....hapo ndio balaa lilipoanzia
Mi sina uelewa wa hayo mambo ya majini. Lakini kama kweli yapo,huenda walitaka mzigo uwaondokee.
Mshenga wako anasemaje! Tuanzie hapo.
 
majini yameamua kumtawala
Zinduka, mchawi wako ni mama mkwe wako wala si hayo majini unayoyasingizia. Kwanza kuna udini alafu umesema mama mkwe hakupi ushirikiano. Ina maana wewe ulipewa akiri za maombi pekee?
 
Zinduka, mchawi wako ni mama mkwe wako wala si hayo majini unayoyasingizia. Kwanza kuna udini alafu umesema mama mkwe hakupi ushirikiano. Ina maana wewe ulipewa akiri za maombi pekee?
Kama nakuelewa kwaundani .......mhhh ...hii ni kweli...hata Mimi nilihisi hivyo maana hajawahi kuniambia kitu Chocho....tangu nilipoaanza kuambia shida za mwanae....ila nakumbuka yale majini yalisema kuwa mzazi wake mmoja alishiriki Hilo swala....nijiuliza sana maana baba alikua na ushirikina walitengana na mama Kwa sababu ya ushirikina.....hivyo alilelewa na mama na bibi yake.....niliwahi kujiuliza alijilindaje na mumewe ikiwa yeye Hana uchawi......niliwahi kumuuliza MKE WANGU hakuwahi kunijibu Hilo swali....pili kweli kwao Kuna Imani ya ushirikina.....maana hata nilipoenda kwao, nakumbuka. MKE aliniambia kua mama kasema ulikoenda wewe yaani Mimi nilikoenda niwapeleke na wajuku zake....nilibaki na maswali kibao.....
 
Bro umeongea viruzi nafanyaje na wakati Yuko kwao je nijipendekeze au nifayeje
Ulimwengu wa Roho hauna umbali mkuu. Umbali upo katika ulimwengu wa mwili tu. Ingia kwenye maombi ya kufunga, kuomba kwa kumaanisha Mungu atatenda kwa ajili yako mkuu wangu.
 
Kama nakuelewa kwaundani .......mhhh ...hii ni kweli...hata Mimi nilihisi hivyo maana hajawahi kuniambia kitu Chocho....tangu nilipoaanza kuambia shida za mwanae....ila nakumbuka yale majini yalisema kuwa mzazi wake mmoja alishiriki Hilo swala....nijiuliza sana maana baba alikua na ushirikina walitengana na mama Kwa sababu ya ushirikina.....hivyo alilelewa na mama na bibi yake.....niliwahi kujiuliza alijilindaje na mumewe ikiwa yeye Hana uchawi......niliwahi kumuuliza MKE WANGU hakuwahi kunijibu Hilo swali....pili kweli kwao Kuna Imani ya ushirikina.....maana hata nilipoenda kwao, nakumbuka. MKE aliniambia kua mama kasema ulikoenda wewe yaani Mimi nilikoenda niwapeleke na wajuku zake....nilibaki na maswali kibao.....
Mbali na ushirikina mkuu ila maneno ya mama kwa binti yake aliyeolewa yana influence kuwa sana kuendelea kuolewa au kuikacha ndoa. Nina experience kubwa sana na hili. Kama binti ni kilaza na mama akamdiscourage mwanaye kuhusu hio ndoa ni wazi kabisa hakuna ndoa hapo.
 
Shukrani
 
Nashukuru Kwa mchango wenu Wana jf...nimepata majibu Kwa 80%
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Acha majini yamwoe....huyo mpuuzi we tafta ishu ingine usiendekeze ujinga
 
Kama kweli umeokoka na unajifunza NENO la Mungu,utakua unafahamu kosa lako,unless umekua jeuli..Mungu alipowaambia wana wa Israel wasiolewe na mataifa mengine,binti wala wana wa kiume je,unafahamu kwa nini?..Imani ni kitu chenye nguvu sana,liko kosa umefanya, tulia tengeneza na Mungu,oa ktk taratibu za imani yako...ukilazimisha kumrudisha huyo mwanamke, jipange kwa mapambano ambayo yatakuweka pabaya.
 
1kings 11:2
Exodus 34:15
Nakuletea maandiko mengine.
Ulikosea sana kuoa watu wa njia ile.
Katubu hiyo dhambi halafu mwombe Mungu akupe mke.
Umepoteza miaka 8 bure
 
Back
Top Bottom