Kwa iman ya Kikristo kwa kuwa hukumtolea mahari maana yake sio mkeo, kwahiyo ulikuwa unazini nae.
So far, shukuru Mungu kwa kuwa hukumtolea mahari, ameamua kuondoka basi muache aende, maandiko yanasema hivyo kwenye kitabu cha 1Wakorinto sura 6 au 7 inazungumza hiko kitu.
Anayeokoa ni Mungu wala sio mtu, wewe huwezi kumfanya mtu aokoke ila Mungu ndie anayeweza.
Rudi mbele za Mungu kwa toba na akuthibitishie kuwa huyo ndie mke kwako, kama kukawa na kimya, tafuta mwingine mtolee mahar uoe.