Mke wangu ameondoka kimazingara, naombeni ushauri

Kuna dada namfahamu alikuwa ameolewa tulikuwa tunajua ana mashetani kumbe anaigizašŸ˜‚šŸ˜‚
akiyapandisha anakua ka kichaa halafu anakimbia anapotea ata siku 2
khee kumbe alikua akipotea ivo anaenda kwa baby wake anayempenda baadaye ikaja kujulikana
Pia ukiangalia hawa weny mashetani ni wanawake tu🤣🤣
 
Bro huyu Binti inaonekana alinishambulia sana ila Mungu alinisaidia....chaajabu hataki kunitafuta ila inaonekana Kuna watu anawasiliana nao kuuliza habari za watoto...... Mimi nina karama ya uchungaji...na karama yangu ni kuombea watu...na huwa wanapona kabisa.....sijui ni kipimo au......Kila nikitaka kuacha roho inakataa kabisa ...ni nikijaribu kutongoza mwanamke mwingine roho inauma balaa
Wokovu umekubeba sana na ndio uliokusaidia hata Akaondoka! Alikushindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broh inaonekana hujui biblia

1 Wakorintho 7:12.
12. Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache.
Hayo ni maneno ya Mtume Paulo na anasema kabisa anasema yeye wala si kwa Kinywa cha Bwana.
Nawe umesimamia andiko hilo,
Vipi hili?
2 Wakorintho 6
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?

15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?

16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike.
 
Mshukuru sana Mungu wako kwa hili na anua tanga usonge mbele.. Mlikutana falme mbili tofauti.. Ukashinda vita ya kwanza lakini hapo kati ukajisahau kidogo wamerudi na kuchukua chao...!!! Usijaribu kupambana tena.. Kubali yaishe lea wanao maisha yaendelee usijaribu kabisa kupambana tena! WAMEJIPANGA..!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo mhudumu wa chumba maalumu kwa wale ambao roho zao zimerudi kwa muumba
 
Hayo ni maneno ya Mtume Paulo na anasema kabisa anasema yeye wala si kwa Kinywa cha Bwana.
Nawe umesimamia andiko hilo,
Vipi hili?
2 Wakorintho 6
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?

15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?

16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.

17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.

18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike.
Bwana asifiwe Mtumishi
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Umeokoka lakini umekaa na binti wa watu bila ndoa.

Aiseeee dunia ina mengi sana.
 
"Nimeokoka nampenda Yesu"

Pale mwombaji mzuri ambaye maridadi wa kuomba asiyejua Biblia inaagiza usifungiwe nira na asiye amini.

1. Umetorosha mtoto wa watu!
2. Imani tofauti
3. Mahari ujalipa

( Umeokoka unampenda Yesu)

Pumbavu kabisa

Yesu "Mkinipenda mtazishika amri zangu"

Wewe wazivunja, halafu ni mwombaji mzuri, insanity is real.

Mungu ni wa kanuni haswa, usijipeleke kuoa mtu wa ufalme mwingine kwa kujisifia uhodari wa Maombi.
 
Kuna dada namfahamu alikuwa ameolewa tulikuwa tunajua ana mashetani kumbe anaigiza[emoji23][emoji23]
akiyapandisha anakua ka kichaa halafu anakimbia anapotea ata siku 2
khee kumbe alikua akipotea ivo anaenda kwa baby wake anayempenda baadaye ikaja kujulikana

Hahah watu wana drama jmn
 
Habarini wakuu.

Mimi ni kijana. Nimeokoka nampenda Yesu .

Katika mazingira ya maisha nilikuta na Binti wa kiislam. Nikamuaprosh tukaanza maisha....bila kutoa mahari ila nilienda kwao kujitambulisha.

Huyu Binti alikua anasumbuliwa na majini mahaba...sikuhofu Kwa kua Mimi pia ni mwombaji mzuri... nilifanya nae maombi na Mungu akamponya....tukazaa watoto wa 2...tumeishi Miaka 8.
bila tatizo lolote....ila kwao wote ni waislam.

na Binti alianza kuomba vizuri sana ..

.shida ilianza. Siku Moja nilifuma namba ya mwanaume kwenye sim yake ikaoneka ni mtu wake...
.baada ya mda kaanza vituko.nashanga usiku hanipi Tena dendo mara hasira ..

..siku Moja usiku nimemaliza kuomba maombi ya usiku...Ile tunalala nikalazimisha tendo

mara majini yakapanda na kuanza kusema yamerudi na kuanza kusema Kwa kiluga chao....basi tangia hapo mke wangu tukawa hatuelewani kabisa....yake majini yalisema yasipo muondoa kwangu yatamuua ili Mimi nibebe maiti kwao..

Siku Moja nimetoka jobu usiku wa saa 3 sikumkuta mke wangu...aliondoka na Kila kilicho chake. Aliacha watoto nikawajulisha kwao nikaambia amefika.. chaajabu..hataki hata kunisikil na mama yake hanipi ushirikiano......leo ameniambia ameanza kwenda msikitini Tena

NAOMBENI USHAURI nifanyeje ili niweze kumrudisha mke wangu maana ilitakiwa mwezi huu wa pili nimtolee mahari ili tukamilishe kabisa, sasa nashindwa chakufanya naona Yale majini yameamua kumtawala. Sijajua kwa undani labda kwao wanahusika au

Niko tayari kuelimishwa. Nilikua najifikiria kwenda kwao...
Endelea kuomba Mungu kama ni mapenzi yake arudi asiporudi ujue hayakua mapenzi ya Mungu ninyi kuoana
 
"Nimeokoka nampenda Yesu"

Pale mwombaji mzuri ambaye maridadi wa kuomba asiyejua Biblia inaagiza usifungiwe nira na asiye amini.

1. Umetorosha mtoto wa watu!
2. Imani tofauti
3. Mahari ujalipa

( Umeokoka unampenda Yesu)

Pumbavu kabisa

Yesu "Mkinipenda mtazishika amri zangu"

Wewe wazivunja, halafu ni mwombaji mzuri, insanity is real.

Mungu ni wa kanuni haswa, usijipeleke kuoa mtu wa ufalme mwingine kwa kujisifia uhodari wa Maombi.

Jf watu katika imani kumbe ni wengi. Anyway kijana ameteleza, na tukio la huyo dada kuondoka li serve kama fundisho and as wakeup call. Next time before hajaji commit amuweke Mungu mbele

Otherwise the circle will repeat its self
 
Wokovu umekubeba sana na ndio uliokusaidia hata Akaondoka! Alikushindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimeamini kuwa wewe sio wa kawaida....unaona mbali sana ...Kwa kweli nimeeleza Kwa ufupi stori maana ni ndefu sana......kiufupi nilikua na pambania penzi Kwa lengo zuri.....nakumbuka nilikua na rafiki yangu mmoja huyu JAMA ni mwislam....JAMA yeye ana majini wazuri kulingana na Imani yake ....Kuna siku alimuona MKE WANGU....akaniuliza huyu ndio MKE wako? Akesema pole sana maana isingekua Imani Yako ndogo uliyonayo ungeshakufa mda sana ....ila sikumelewa alimaanisha nini ....
 
Nina mashaka na ulokole wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom