Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,312
Duuuhongeza mke mwingine, muonee huruma huyo make huenda majukumu yamemzidi.
Duuuhongeza mke mwingine, muonee huruma huyo make huenda majukumu yamemzidi.
We hebu wacha bwana!Funga biashara ili uinusuru ndoa yenu.
Hahahaaaa!! Kwahiyo suluhisho?Kuoa mwanamke asie na kazi ndo shida yake,mwenye kazi nae hujui ya huko ofcn...basi shida tupu...!!!!
Ndege wafananao......unadhani kaolewa na nani hata unyumba week mbili hapewi?
Hana kazi ya kuajiriwa ni mama wa nyumbani. Nikaona asikae bure. Lakini ndo imekuwa changamoto. Leo karudi alianika nguo. Mi nilivyorudi nikaziweka ndani. Karudi ananiambia kwanini hujakunja nguo. Nikamwambia kama umenioa ntazikunja ila kama nimekuoa siwezi. Anajifanya ana amri mpaka sometime ananidhalilisha mbele za watu. Ila sasa nimeamua kumkazia.Muhimu ni kumnyoosha kwa kutompa pesa kuzidi kuendeleza duka hilo, acha life ajitambue.
Pia kuwa na duka lazima anakutana na wateja na wanaume wanampa bichwa la maneno anayoambiwa.
Pole kama hana kazi ya kuajiliwa muache akae akipata shida then akae nyumbani, fungua biashara ingine wewe.
Kuhusu utulivu hana shida,pia ni mwaminifu.Funga biashara ili uinusuru ndoa yenu.
Sawa kakaKuwa mpole kaka wala usipaniki utayaona mengi kamasio mtu wakubadilika pia wanawake wengi wakipata pesa ujifanya vichwa ngumu mpe muda usio pungua mwaka asipate kisingizio....
Shida inakuja hapo sasa. Tatizo nilikuwa namsikiliza sana mwanzo. Sasa nimeanza kukaza ndo shida inaanza hapo.haya mahusiano shida sana maana wanawake wakipata wataka kushindana na mwanaume
Hilo nalo neno.!Pole mkuu,chakufanya mpe majukumu,mwambie hela ya chakula cha familia itoke kwenye hilo duka,atanyooka.
Hana kazi ya kuajiriwa ni mama wa nyumbani. Nikaona asikae bure. Lakini ndo imekuwa changamoto. Leo karudi alianika nguo. Mi nilivyorudi nikaziweka ndani. Karudi ananiambia kwanini hujakunja nguo. Nikamwambia kama umenioa ntazikunja ila kama nimekuoa siwezi. Anajifanya ana amri mpaka sometime ananidhalilisha mbele za watu. Ila sasa nimeamua kumkazia.
Mulika mwiziHabari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
hata kama akifunga hilo duka hawezi kubadili chochote mke kesha onja vya nje tayari hawezi kubadilika tena.Jaribu kutafuta njia itakayoweza kurudisha heshima na upendo kama hapo awali hata kwa kufunga hilo duka ilimradi unusuru papuchi yako