Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,122
- 110,884
Yaani wiki mbili jamaa hajagusanisha nyareee....[emoji15] [emoji15] [emoji15] alafu unamshauri wakae wazungumze kwa upendo.....[emoji34] [emoji34] [emoji34]. Sasa hapo upendo unatoka wapi wakati jamaa analala huku amekunja kumi kupooza pale kati....!???Wanawake huwa tuna njia za ajabu ajabu sana za kufikisha ujumbe, wakae chini wazungumze vizuri kwa upendo, wapembue palipoharibika warekebishe then wasonge mbele.
Ebu acheni kufananisha unyumba na mambo ya kijinga aiseeeee