Kaka Pekee
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 336
- 559
kama kipi hivi?Something behind
hiyo inaweza kuwa njia moja ya kutufanya tunyooke na kupunguza utegemezi wa nje, lakini pia kuturudisha kwenye mstari kidogo.Amerika itatufanyia kitu mbaya soon,
Moja wapo ni vikwazo na misaada
akkHivi mitambo yao iliyo angani haiwezi kujua Azory yuko wapi?
Kama ilivyo Zimbabwe na Iran siohiyo inaweza kuwa njia moja ya kutufanya tunyooke na kupunguza utegemezi wa nje, lakini pia kuturudisha kwenye mstari kidogo.
Sisi ni dona kantre, nchi tajiri ihhhh, bagosha, tuna fedha za ndani.Amerika itatufanyia kitu mbaya soon,
Moja wapo ni vikwazo na misaada
Unakosea...ccm na hii serikali haikukuzaa,sio mjomba Wala mtu Baki kwamba atakuzika siku moja.utakufa peke yako Kama azory siku moja.usifanye kejeli kwa mjane huyu.Ameenda kumu intaviyuu ili aweze kwenda kuishi amerika? Kama mkimbizi baada ya kuishi kipindi kirefu bila mzazi mwenzie...?