Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

Sasa wakati umewadia ili FBI waje kufanya uchunguzi wa Azory Gwanda Ben Tundu Kissu na wengine wengi waliofanyiwa ukatili na CCM

Sisi kama Taifa kumeshindwa kabisa na Polisi walishakiri kuwa hawawajui hao wasuojulikana
 
Kinachofurahisha sana kuhusu harakati za Nyumbu ni kuwa hiki nacho kinaonekana ushindi kwao..what a waste!!
Kama watu waliopotea wanaendelea kuwa mawawazoni mwa watu wengi ni jambo jema. Haki ya uhuru ni ya kila mwananchi. Kujifanya kwamba ni sawa mtu kupotea ni hatari kwa usalama wako pia. Kumbuka wengi wanaoadika kama wewe walikuwa recruited na nape/makamba combinanga.
 
Una hakika/ushahidi na ulichoandika kuhusu Mh Nape??
 
Back
Top Bottom