Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Hao huwa tunawaua kijasusi hata daktari akipima haoni nini kimemuua na anakua hana jeraha hata moja.
Hiyo mbinu sitaki kuiweka wazi hapa maana mnaweza kuua kiholela na mbinu ikashtukiwa
 
Hatar kwa kweli mm huyu ninae mtumiaga sijajuwa amekosa nn huko kwa bwan ake ingawa amesema anapita mkp miezi miwili haguzwi na akiguzwa kimoja kimetoka akijaribu kumfanyiaa bwana ake manyonyo. Jamaa ake anasema umejifunza umalaya eeh jamaa hataki hata kunyonywa hat kuwa romantic jamaa hataki full ukauzu tu na jamaa anamumbia mkewe kuwa umenepa Sana had unakosa mvuto Mara punguza unene dah Sasa ukimcheki mkeo Ni Ana kalio zuri tu na mm nadata nalo swafi ..ila ukweli roho inaniuma kwa jins ninavyopewa tunda la watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni mmama au mwanamke wa kawaida, sema macho yako umeyavalisha darubini ya ngono na kichwa chako kuwaka tamaa ya ngono ndio maana unamuona hivyo. Trust me, ungekuwa ni mme wake wala ungemuona wa kawaida. Kwaujumla ni kutoweza kuafford mpenzi wa kukutosheleza hivyo hufikia hatua kutamani kila mwanamke, saajabu hata kikongwe ungemuona yupo hivyohivyo tu. "THE MERMAID THEORY"
 
Ipo siku utajikuta mwenyenye ndani ya mdomo wa mamba
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na Jana alifanyiwa operation ya pili,inauma na inaumiza Sana kijana mdogo Sana Ambaye hata miaka 20 hajafikisha Jamani mke wa mtu sumu

Iko hivi,jamaaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"Msela nondo"alikataaa katakata

Siku ya siku ikafika,mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa ambapo Kama kawaida ilitegemewa Angelala huko,hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "Msela nondo"kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, Ni kweli "Msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya),kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "Msela nondo"katika Hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "Msela nondo"akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke (kosa Lingine kubwa alilofanya)

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "Msela nondo"kichwani, Msela nondo akazima,Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "Msela nondo"kila sehemu mwilini,hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha,

Mpaka alipohisi ya kuwa amemumaliza kabisa,akambeba juu juu,na kumpeleka kwao"Bahati yake

Tumuombee Msela nondo apone Huenda akapata nafasi ya kujifunza,NARUDIA KUSEMA MKE WA MTU SUMU,INAUMA SANA TENA SANA,NAAMINI AKIPONA HATARUDIA ALICHOKIFANYA.
Hivi wanawake wanataka nini? Kwa upande wa wanaume inajulikana hulka yetu ni tamaa tu kwaiyo angalao mwanamke anaweza kutafuta suluhisho maana ashajua tatizo liko wapi.. sasa wanawake wao wanataka nini hasa? Kupendwa?, kujaliwa?, pesa?, show ya kibabe?, handsome boy? e.t.c
 
Mkuu mke wa mtu sio sumu mwanamke asiye mwaminifu ndio sumu.
Mwanamke anae kusaliti kwenye tendo la ndoa ni wazi anakusaliti kwenye kila jambo hata kwenye maendeleo ya kifamilia atakuwekea Gench kwenye kila kitu akienda nunua nguo za watoto anaweka cha juu ,kibarua shambani,fundi wa nyumba,pesa za kulipa shuleni ilimradi akuibie ni wakati sasa wa wanaume kujitambua ..
MSALITI HAPIGANIWI.
 
Hata kama angekuwa mke wangu sifanyi huo ujinga kwa nini nijitafutie matatizo ya kuua na wanawake ni wengi
Kwenye kufanya maamuzi hisia zina nguvu zaidi kuliko akili/mawazo yako. Basi omba likikutokea jambo kama hilo, wazo hilo ya kwamba wanawake wapo wengi likujie. La sivyo unaweza kuua au kujiua kama Mungu asipokusaidia
 
hivi vijana wanajisahau nini
1. umeshafuatwa ukaonywa kwann usiache?
2.unawezaje kwenda kulala na mwanamke wa mtu kwenye nyumba anayokaa yeye na mumewe
3. upo ndani ya nyumba ya mtu unamchoma kisu unatarajia kwa kesi hiyo atachomoka?
4. hatakama ni mwanamke kakushawishi hujiongezi kua msala utakapokuja muhusika mkuu ni ww ?
ebhana me nasema kwakua mapenzi yanauma acha mtu akatwe panga kwanza ili hata akifa mke abaki na funzo kua ataponza mwingine afe kama wakwanza
 
Hivi wanawake wanataka nini? Kwa upande wa wanaume inajulikana hulka yetu ni tamaa tu kwaiyo angalao mwanamke anaweza kutafuta suluhisho maana ashajua tatizo liko wapi.. sasa wanawake wao wanataka nini hasa? Kupendwa?, kujaliwa?, pesa?, show ya kibabe?, handsome boy? e.t.c
Hawaeleweki hawa watu, yaani ni pasua kichwa
 
Kati ya mamba na kiboko nani kiboko?

Ilitokea arusha. Jamaa alipiga nyumba petroli mke na mchepuko wakafia ndani. Huko kenya jamaa aligeuzwa funza hapo chini ya kitovu kwa kukataa onyo la kutembea na mke wa boss wake.

Msela nondo jeuri ya balehe imemponza.

Ukioa amini mkeo atakusaliti jiambie tu kila siku nampenda namwamini ila ipo siku atanisaliti. Utapunguza maumivu hata ikija kutokea.
 
Ni mmama au mwanamke wa kawaida, sema macho yako umeyavalisha darubini ya ngono na kichwa chako kuwaka tamaa ya ngono ndio maana unamuona hivyo. Trust me, ungekuwa ni mme wake wala ungemuona wa kawaida. Kwaujumla ni kutoweza kuafford mpenzi wa kukutosheleza hivyo hufikia hatua kutamani kila mwanamke, saajabu hata kikongwe ungemuona yupo hivyohivyo tu. "THE MERMAID THEORY"
Wew Tena kwenye moja na mbili 😂😂😂
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na Jana alifanyiwa operation ya pili,inauma na inaumiza Sana kijana mdogo Sana Ambaye hata miaka 20 hajafikisha Jamani mke wa mtu sumu

Iko hivi,jamaaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"Msela nondo"alikataaa katakata

Siku ya siku ikafika,mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa ambapo Kama kawaida ilitegemewa Angelala huko,hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "Msela nondo"kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, Ni kweli "Msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya),kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "Msela nondo"katika Hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "Msela nondo"akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke (kosa Lingine kubwa alilofanya)

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "Msela nondo"kichwani, Msela nondo akazima,Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "Msela nondo"kila sehemu mwilini,hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha,

Mpaka alipohisi ya kuwa amemumaliza kabisa,akambeba juu juu,na kumpeleka kwao"Bahati yake

Tumuombee Msela nondo apone Huenda akapata nafasi ya kujifunza,NARUDIA KUSEMA MKE WA MTU SUMU,INAUMA SANA TENA SANA,NAAMINI AKIPONA HATARUDIA ALICHOKIFANYA.
Dah ! Huyo mwamba ni hatari kwamba akamshushia kipigo na kumbeba kama mzoga
 
Back
Top Bottom