Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Alisumbuka bure kumkata angemkamata amfunge mikono awafere kwa pamoja na mke wake ili wote wawe wake zake
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
 
Hatar kwa kweli mm huyu ninae mtumiaga sijajuwa amekosa nn huko kwa bwan ake ingawa amesema anapita mkp miezi miwili haguzwi na akiguzwa kimoja kimetoka akijaribu kumfanyiaa bwana ake manyonyo. Jamaa ake anasema umejifunza umalaya eeh jamaa hataki hata kunyonywa hat kuwa romantic jamaa hataki full ukauzu tu na jamaa anamumbia mkewe kuwa umenepa Sana had unakosa mvuto Mara punguza unene dah Sasa ukimcheki mkeo Ni Ana kalio zuri tu na mm nadata nalo swafi ..ila ukweli roho inaniuma kwa jins ninavyopewa tunda la watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Siku ukudakwa ndipo utajua na wewe hua una utamu wako sehemu flani flani
 
Mtu unawezaje kula mke wa mtu, mbona kinyaa sana aisee 🥸🥸. Ame kweli kuna watu wana akili za kutumia vibaya na wengine wana akili za kutumia vizuri
Mkuu kuna level flan ya uasherat ukihitimu kinyaa kinapotea.. yaan ukiwa umeshachakata papuchi zaid ya 25 maishan mwako.. bas kinyaa hupotea kabisa.. ndomnaa kuna wamba wanawaendea had chumvin hao wake za watu na fresh tu
 
Ah mie mbona wala sina shida ya kuokoka. Dhamira yangu ilishanishuhudia kuwa mie ni wa motoni na motoni nitaungua. Am ok with that na wala sitataka kwenda tofauti na huko
Huko mbali, kiongozi
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Sio chai kweli,nani yupo hospitali wa kisu wakiti,au umeamua kutoa darasa huru TU🏃🏃
 
Mtu unawezaje kula mke wa mtu, mbona kinyaa sana aisee 🥸🥸. Ame kweli kuna watu wana akili za kutumia vibaya na wengine wana akili za kutumia vizuri
Uko sahihi sana Kwa kweli .
Nchi imeingiliwa na Pepo la ngono. Serikali ikichukulia poa Hali itakua mbaya sana na mwisho maafa yatakua MENGI kwani watu wanaishi Kwa vinyongo,VISASI na stress llkubwa. Ajali na mauaji MENGI mara nyingine SABABU ni migogoro ya kimahusiano. Ukiona MTU anatembea na Mke Wa MTU halafu akapona basi Ujue ni Kwa SABABU hajakamatwa Lakini akikamatwa stahiki yake ni kifo au kutiwa ulemavu Wa Maisha na sio dhambi kumuua mzinifu. Alimradi Kuna ushahidi Wa moja Kwa Moja.
 
Ila Kuna watu Wana roho ngumu sana
Kuna kaka mmoja, alioa Binti, akamchukua mkewe akaenda kuishi naye kwao wazazi wa mwanaume.
Bahati mbaya alikuwa na kazi nyingi migodini hivyo halali sana nyumbani
Siku Moja, akamfunania mkewe usiku wa manane, imagine mwanamke anapeleka hawara ukweni, na wakwe wamelala Ndani!
 
Mwanaume Wa Kweli unaanzaje Kula Mke Wa mtu..?
Wakati Wanawake Kibao wanatafuta Waume..?
Wanawake Wamejazana huko kwa Manabii wapo kibao waombewe Waolewe....Wewe unaenda kula mke wa Mtu.?
Kwanza kuna mmoja hapo juu amecomment ni Kinyaa..kweli hiyo tabia ni kinyaa.

Tabia ya kiswahili na ya ki zamani sana hii, mizigo yote singo imejaa kuanzia barabarani mpaka bar uende kuparamia ndoa za watu.Kuna wadada wako single wazuri unaenda kuweka kikojoleo kwa mwanamke ambaye unajua jana usiku alingonoka na mmewe
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Yaani uchomwe kisu tumboni halafu uwe ba uwezo wa kufanya mengineyo! Kisu tumboni ... labda kisu hakikuingia huko aisee
 
Ah mie mbona wala sina shida ya kuokoka. Dhamira yangu ilishanishuhudia kuwa mie ni wa motoni na motoni nitaungua. Am ok with that na wala sitataka kwenda tofauti na huko
Na wala hatuwazi yani ..motoni lazima kutakuwa na vibe wahun wangu kama wote

Pepo tumuachie mama D na wahumini wenzake
 
Back
Top Bottom