Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
umependeza
​usinitaftie talaka ushindweee!!
​si na binamu au kashaporwa?Hivi unajua nina ndoa mpya tena ya kimataifa kama ile ya diana na mwana wa mfalme.
yaaani hapo sichoki kupasoma
lady doctor ona sasa ndo ujue mie hand saaaaaaaaa!! wa ukwenga watoto wazuri hawaishi kugongana vikumbo......
kaniruhusu niongeze nyumba ndogo unasemaje ?
sijasahau ila nakumbuka weweumesahau eeeeeeeeee?
umesahau eeeeeeeeee?
sijasahau ila nakumbuka wewe
ni shemeji tu heheee!!
honey hizo 20 zote ni za waume za watu ?
Acha mkwara wewe, hiyo ndoa mbona ilikuwa ya kawaida tu....?Hivi unajua nina ndoa mpya tena ya kimataifa kama ile ya diana na mwana wa mfalme.