mke wa mtu ani pm

mke wa mtu ani pm

Najiuliza wake za watu wananini kipya? Maana mfano nimeuona kwangu Evelyn Salt kila siku ma vx ya wabunge yanapishana kwangu huku wakijua ni mke wa mtu,pia nilikuwa naona ma hammer kwa Mamnidenyi kabla hajatengana na Vin Diesel haya tukija kwa yule mkaguzi wa jinsia mzee Asprin nae alipenda sana kukagua wake za watu tofauti na wale single girls, why how tena kuna huyu mzee Bishanga nae hajambo kwa kufukuzia wake za watu,tena kuna mke wa mwenyekiti Baba V anaitwa Mama v kama sikosei nae alikuwa mzima tu kwa kumtoroka mumewe [samahani mwenyekiti] sasa basi kama unajijua wewe ni mke wa mtu naomba tuwasiliane via PM.Japo wake wa watu ni sumu,naamini mtanifaa hata kwa kuulia panya.

We umeoa?
 
samahani mzee nimefungua duka la vocha huku kwahiyo natangaza biashara kwa wateja,nakwangua mwenyewe na kuwaingizia pia. Kama unaweza njoo unisaidie maana nimezidiwa na wateja.

biashara gani hiuo ya kufanya wake za watu vocha
 
Si tunalinda damu isiende nje.

yap! Hiyo tabia tunayo sisi watatulu na wamang'ati ukikuta ndg yako kajaa chumbani kwako na wewe unaenda kutafuta palipo wazi nawe unajaa.
 
Back
Top Bottom