Najiuliza wake za watu wananini kipya? Maana mfano nimeuona kwangu
Evelyn Salt kila siku ma vx ya wabunge yanapishana kwangu huku wakijua ni mke wa mtu,pia nilikuwa naona ma hammer kwa
Mamnidenyi kabla hajatengana na
Vin Diesel haya tukija kwa yule mkaguzi wa jinsia mzee
Asprin nae alipenda sana kukagua wake za watu tofauti na wale single girls, why how tena kuna huyu mzee
Bishanga nae hajambo kwa kufukuzia wake za watu,tena kuna mke wa mwenyekiti
Baba V anaitwa
Mama v kama sikosei nae alikuwa mzima tu kwa kumtoroka mumewe [samahani mwenyekiti] sasa basi kama unajijua wewe ni mke wa mtu naomba tuwasiliane via PM.Japo wake wa watu ni sumu,naamini mtanifaa hata kwa kuulia panya.