mke wa mtu ani pm

mke wa mtu ani pm

kwa nini nimkatae shemeji
tatizo my wife wake mkubwa mtata!!

nawe umeonaeeeh! Huyu bidada mtata kama nini... Hapa nilipo nipo na slave tukijipa raha taratibu ila mawazo yote yapo kwa Evelyn salt nahisi atampiga mumewe mpaka basi akirudi home
 
hivi unakubali kabisa slave awe shemejiyo!?

sikia mamito Lady doctor ndugu yako ananijua vyema kuanzia tabia,matumizi na hata kuweka heshima bar Passion Lady hawezi kukutumbukiza katika mikono isiyo salama.

kwa nini nimkatae shemeji
tatizo my wife wake mkubwa mtata!!

images
 
Back
Top Bottom