Kanieleza kuwa ananitaka na kanieleza kuwa nikimkataa atanishtaki kwa boss kuwa namtongoza. sijui nifanyaje sijui niache kazi ama liwe liwalo.
Mke wa boss kimuonekano anavutia balaa na anaonekana ni kama ana upwiru. na amenita leo usiku kwake mme wake hayupo kapata safari kasafiri.kwake na kwangu sio mbali sana.
Ila tatizo naogopa mke wa mtu sijui nifanyaje.