ndio maana nasema nikutoe,kila kitu kina siri zake,serikali ina zake na hata ndoa zina siri zake. Jiulize kwanini Evelyn Salt amedum kwangu? Chezea meat ya wani wiki
AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA....( Mithali 6: 32-33)
Wanaume wengi hawana akili kabisa najua hata hapa wanasoma hii coment lakini hawaelewi....hii ndo sababu ya msingi.
( kwa wasomaji wa bibilia wanaujua sana huu mstari... sijui kama msaafu na wenyewe una hii reference)
Slave hivi mkeo Evelyn Salt anajua na wewe ni macho juu au hajui
mie nampimia tu huyu watu8 sema some how namheshimu maana ni kama dingi yangu tofauti na hapo viwembe vingehusika
Slave hivi mkeo Evelyn Salt anajua na wewe ni macho juu au hajui