Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,069
- 831,686
Na ratiba ya vipindiFimbo
Kifutio Cha Ubao
Chaki
Andalio La Somo
Mrs Gambo Achape Kazi
Na ratiba ya vipindiFimbo
Kifutio Cha Ubao
Chaki
Andalio La Somo
Mrs Gambo Achape Kazi
Wewe umefurahi?Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Sure, angalia pale Burkina Faso, wananchi wameamua kumlinda master wao, hiyo ndiyo ilipaswa nasi tujivunie ila wazee wa kudiverting hawakumpenda.I agree kaka, na madhaifu yake but jpm was not joking. Anakuweka pembeni regardless status yako and ilisaidia sana uwajibikaji
Lakini haikuwa sahihi mtumishi wa umma kupanda majukwaa ya kisasa;au yupo likizo bila malipo?😅Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
NanukuuYaani ukiwa kitaa Arusha hakuna anayemsema vizuri Gambo, yaani Gambo anagundu hata mke wake. In short Gambo ni mjinga kukubali kuingia vita na Makonda, alipaswa a play low profile kwa sababu Makonda was already damaged, ila ujinga wake Gambo anaropoka ropoka halafu kibaya Gambo hana uwezo wa kujenga hoja in short ana upungufu wa hekima na hajui kabisa kuongea. Sura yake imejaa ukatili na dharau
Halafu Mratibu Elimu Kata Anamfuatilia Kwa Karibu SanaNa ratiba ya vipindi
Tena hyo kumrudisha shulen ni kama wamemhurumia tu,ilitakiwa apigwe chini kabisa kwenye utumishi wa ummaKwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
Wakuja ndio nini, Arusha ni jiji huo ushamba baki nao huko kwenu. Dsm ni ya kina nani? We wa wapi?Halafu wote wa kuja wanataka kuuana kwenye jimbo la watu, Arusha kataeni wahuni hao.
Sana! Napenda kucheka so nikipata chumvi kama hii nakuwa hoi kwa kicheko! 🤣Chumnvi nyingi!!😅🤣
Akafundishe ndio profession yake, wamezidi uvivuHeshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Mond
Angepanda kwenye jukwaa na kusifia viongozi angechukuliwa hatua kuwa amefanya siasa?Kwa nafasi yake hatakiwi kufanya siasa, kama ni kweli wala hajaonewa.
Acha upuuzi, wachaga mbn wapuuzi maskini tu, umeshafika kwao?Mchagga atamake huko huko darasani 😁
Gambo mpuuzi sana,The same thing, issue ya kutojengwa stendi mpya ya mabasi Gambo alikuwa source ndipo JPM akaona hawa hawapo seriously.
JPM alikuwa jembe ni basi tu.
Au pengine kuwakatia kachumbari na pilipili Kwa mbali ili watafunane vizuri zaidi.Waache watafunane mpaka wamalizane tungekuwa na uwezo tungeongeza kapetrol kidogo ili kitu iwake Moto zaidi
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Yule mke SI alivunja SHERIA ya utumishi akapanda jukwaa la siasa.. watumishi wa uma hawaruhusiwi kupanda kwenye majukwaanya siasa. Akijaribu mwemyeweHeshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Tatizo wenyeji nao wana mabifu yao ya kishamba sana... Arusha ina ukabila wa kijinga mno. Kuna wanaojiita waarusha (Wamasai wa Arusha) nao hujiona keki kuliko watu wa makabila mengine waliozaliwa na kukulia mjini Arusha. Kwenye uchaguzi wa UVCCM kulikuwa na harufu kali ya ukabila aliposhinda kijana wa kimbulu. Pia kuna wenyeji ambao wako CCM na CHADEMA kwa siri. Kuna makada wa CCM wengi Arusha wanaisapoti CHADEMA sirini. Hilo jimbo lina mambo meusi sana upande wa CCM. Tusipokuwa makini wapinzani wanaweza chukua jimbo.Halafu wote wa kuja wanataka kuuana kwenye jimbo la watu, Arusha kataeni wahuni hao.