Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,598
- 44,423
Yaani magu amtoe kijana wake pendwa, acha masikhara mkuu.Wakati huo jpm akiona hizi tabia anawatoa tu kwenye system until watakapojitambua

Ccm doesnt care who ,when ,what, ilimradi kinawabakisha madarakani. Na hiko ndio what matters to themTrue but tatizo ni CCM angalia polisi wanavyovunja katiba.
Tatizo ni ccm
Dah ww jamaa 😂 kwan kulikuwa na umuhimu wa kuandika hv?Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Sijaona cha ajabu...ukiwa ofisa elimu na taaluma yako ya kufundisha hutoendelea nayo tena au huwa inakuajeHeshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
hivi gambo na makonda walipishana wapi?Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
CCM Hayo Ndiyo Mambo YaoKifuatacho hapo ni kutupiana majini tu.
Kumbuka ana kofia mbili,na pale alipanda kwa kofia ya Mke wa.Gambo na kama si kwa kofia ya afisa elimu wa mkoa!!Kwa nafasi yake hatakiwi kufanya siasa, kama ni kweli wala hajaonewa.
Karma mbona imewai sana kuleta majibu kwa Gambo.![]()
PreGE2025 - Hebu Mwangalieni sasa Mrisho Gambo yanayomkuta
Alipokuwa RC wa Arusha, Bwana Mrisho Gambo alijiona ni Mkubwa kuliko Mungu muumba mbingu na Nchi, Huyu alidanganywa na John Magufuli na akadanganyika bila kutafakari Maandiko Matakatifu (Amelaaniwa Mtu yule amtegemeaye Mwanadamu, Yeremia 17: 5-7) Kwa kufuata Maagizo ya Kijinga ya Jiwe, Mrisho...www.jamiiforums.com
HakikaUchaguzi ukiwa huru na haki si Gambo wala Makonda atakayeshinda ubunge.
Hili lipo wazi kabisa.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.😀😀😀Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Chumnvi nyingi!!😅🤣Eti ameshapewa na vifaa muhimu kama Chaki, fimbo 😅😅😅😭😭😭
Nina uhakika afisa elimu ana stress zaidi kuliko mwalimu wa kawaida.kwa kuwa ni mke wa Mbunge .Najua njaa kwake hakuna.na isitoshe inajulikana kilichomuondoa kwenye nafasi.Hakuna raha kama kufundisha shule ya serikali kwa Tz.maana hakuna mtu anakudai maelezo kwanini watoto wamafeli.Heshima sana wanajamvi,
Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.
Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.
Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.
Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.
Ngongo kwasasa Monduli.
Mfanyakazi wa serikali na siasa haruhusiwiNi kweli kabisa. Na nafikiri sasa Mama Gambo atapata muda wa kutosha kumsaidia mumewe.
We mnafiki....mbona huwa haupingi matendo yaliyo kinyume na haki?bali u pamoja na waovuMtume (SAW) amesema:
"Hakika waliotenda haki watakuwa juu ya mimbari za nuru mbele ya Mwenyezi Mungu, upande wa kulia wa Ar-Rahman (Mwingi wa Rehema), na mikono ya Mwenyezi Mungu yote ni ya kulia – ambao walikuwa wakitenda haki katika hukumu zao, na katika familia zao, na waliokuwa wakisimamia."
(Hadith Sahih: Muslim, 1827)