Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mkuu tupe ushahidi walau kidogo basi kuhusu hiyo 👆 tuhuma, isijekuwa unatulisha matangopori kwa hadithi za kutunga.
 
Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
Hiyo sheria ina macho ,hapo angemsifia yule mtu na kusema mitano tena ,asingeguswa
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Makonda na Haji Manara hivi hawajawahi kugombana na nani?
 
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa wa haki SSH kwa hili.
 
Halafu wote wa kuja wanataka kuuana kwenye jimbo la watu, Arusha kataeni wahuni hao.
Naunga mkono hoja, hivi Arusha haina wenyewe tangu vyama vingi vianze, kila siku ni wakuja tuu wanapigana vikumbo?!

Naomba nisiseme zaidi nikaitwa mbaguzi, hili jambo la Arusha, niliwahi kushauri humu Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu! tena Arusha ubaguzi wazi wazi
Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha na hapa Lema: Magembe ni Waziri Mzigo na Medeye ni bomu!
P
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Sad
 
Yaani ukiwa kitaa Arusha hakuna anayemsema vizuri Gambo, yaani Gambo anagundu hata mke wake. In short Gambo ni mjinga kukubali kuingia vita na Makonda, alipaswa a play low profile kwa sababu Makonda was already damaged, ila ujinga wake Gambo anaropoka ropoka halafu kibaya Gambo hana uwezo wa kujenga hoja in short ana upungufu wa hekima na hajui kabisa kuongea. Sura yake imejaa ukatili na dharau
Makonda lower your ego !,will cost you!
 
Gambo hawezi shinda hiyo vita kwa sababu ana roho mbaya sana na kiburi. Hana watu, saddist, kaumiza sana watu kwa mambo ya uongo, majungu, fitna ili ashike nafasi za kisiasa
 
Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
Mfano walimu wakusanyike na kuweka vikao huku wamevaa nguo za "Tuna imani na mama" au "mitano tena" wangefukuzwa kazi? Kosa la huyo mama ni kuwa yupo against na makonda
 
Gambo hawezi shinda hiyo vita kwa sababu ana roho mbaya sana na kiburi. Hana watu, saddist, kaumiza sana watu kwa mambo ya uongo, majungu, fitna ili ashike nafasi za kisiasa
Kwani makonda hajaumiza watu?
 
Back
Top Bottom