Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Gambo mpuuzi sana,
Huwezi anza kuketa issue za kipuuzi eti stand ijengwe muriet sijui Olasit eneo ambalo utawalipa watu uliochukua maeneo yao ukaacha eneo ambalo limetolewa bure na mdau, just because una personal interest!
Hapo muriet Gambo ana interest napo sana, kwanza ana viwanja vyake, pili waligawana baada ya kununua na baadhi watendaji.

Hiyo ni kutokana na pesa za ujenzi wa stendi zilipotoka akaona fulsa ya kulipwa mapesa mengi kwa aridhi yake na hao wenzake.

Mzee baba JPM (mtu safi kabisa) alikuwa na watu wanazunguka na Gambo and his company, akatonywa mchezo wote ndiyo hadi leo.

Hawa viongozi wanaojifanya mama yangu kanisonesha kwa kuuza ndizi barabarani sometimes siyo kabisa!
 
Uzuri wa SIRIKALI mishahara haushuki sema marupurupu ndiyo atayakosa.
Alikuwa anawaelekeza walimu cha kufanya, huenda aliwafokea walipokosea.

Sasa unakutana nao staff moja halafu mmoja ndiye mkuu wake. Weee!

Niliwahi kuwa kiongozi kazini kwangu. Niliomba kuhama for my own interest. Nilikubaliwa na boss.

Kipindi nimekabidhi ofisi nasubiri kuondoka, nilikaa kama mwezi hivi chini ya kiongozi mpya. Nilijisikia shida kidogo, japo namna nilivyoishi na wenzangu, hawakuwa na chuki wala kinyongo. Mkuu akitoa maagizo namtii chap hadi wenzangu kushangaa.

Mziki kama ningeishi kibabe.
 
Waligane waendee tu tunazitakq hizo post woi...watu wanazipata wanaloga wasitokee wao kila kukicha kurushiana kurujuani woii
 
Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
Unamjua Kitila Mkumbo?
 
Yaani ukiwa kitaa Arusha hakuna anayemsema vizuri Gambo, yaani Gambo anagundu hata mke wake. In short Gambo ni mjinga kukubali kuingia vita na Makonda, alipaswa a play low profile kwa sababu Makonda was already damaged, ila ujinga wake Gambo anaropoka ropoka halafu kibaya Gambo hana uwezo wa kujenga hoja in short ana upungufu wa hekima na hajui kabisa kuongea. Sura yake imejaa ukatili na dharau
Gambo na Makonda wote ni walewale ila afadhali Makonda,Gambo ana roho mbaya kinachomkuta ni alichokipanda
 
Ushahidi gani labda ?.
Barua ya kipangiwa majukumu mapya ni siri baina ya mlengwa na mwajiri wake.

Sisi tumeshuhudia badala ya Mrs Gambo kuendelea na majukumu yake ya mwanzo sasa ni Mwl wa kawaida wala si Mwl Mkuu hapana Mwl wa kawaida.

Kwa taarifa yako wale wote waliokuwa wakishikiana na Mh Gambo kwa namna ya kumsaidia,kumkuza.....Waligamishwa vituo vyao vya kazi muda mrefu.

Hili unaweza kulithibitisha mwenyewe au kuwasiliana na Mwandishi msomi wa Global Tv ambaye kama angekuwa katika ajira ya serekali labda angeshahamishiwa Loliondo.

Ni vizuri wakati mwingine kufanya research sio kila kitu kutafuniwa.
Hii ni ya kufikirika tu.
 
Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
Watumishi kibao Wana vyeo huko kijani
 
Moshi & Arusha kuna mwingiliano mkubwa.
Mmeru wa Arusha na msia wa Siha wanazungumza lugha zinazo fanana.Wana koo zinazofanana.

Mpaka baina ya Kilimanjaro na Arusha ulitakiwa kuwa Bangata / Kimandolu.

Mwl Nyerere kwasababu za kisiasa hakutaka Wameru waonekane Wachagga wengine kama wamarangu,wamachame,Wakibosho au Warombo akaamua kuwapeleka Arusha na kuwaingiza Wapare mkoa wa Kilimanjaro.

Wameru walikuwa wajanja zama hizo sawa na wachagga kuwaunganisha ktk mkoa mmoja baada ya uhuru ilikuwa mbaya kisiasa.

Kumbuka mkuu wa majeshi CDF wa kwanza katokea Meru Gen Mirisho Sarakikya.

Wameru waliwahi kwenda UN kabla ya uhuru kudai ardhi yao sawa na Wachagga.
Andiko limekamilika 💯
 
Back
Top Bottom