Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Yaani ukiwa kitaa Arusha hakuna anayemsema vizuri Gambo, yaani Gambo anagundu hata mke wake. In short Gambo ni mjinga kukubali kuingia vita na Makonda, alipaswa a play low profile kwa sababu Makonda was already damaged, ila ujinga wake Gambo anaropoka ropoka halafu kibaya Gambo hana uwezo wa kujenga hoja in short ana upungufu wa hekima na hajui kabisa kuongea. Sura yake imejaa ukatili na dharau
Nakusoma taratibu.
 
Wangeomba jimbo ligwanywe kila mtu aambulie ulaji
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Na bado,
Hamjui Makonda vzr,
Atajuta!!
 
The same thing, issue ya kutojengwa stendi mpya ya mabasi Gambo alikuwa source ndipo JPM akaona hawa hawapo seriously.

JPM alikuwa jembe ni basi tu.
I agree kaka, na madhaifu yake but jpm was not joking. Anakuweka pembeni regardless status yako and ilisaidia sana uwajibikaji
 
Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.

Fimbo sio kifaa cha kufundishia
 
Wapo watumishi wa umma walikuwa shirika la utangazaji tbc walienda kuwania ubunge bila kuandika barua za kuomba Sabbatical Leave. Kwa hii nchi hakuna linaloshindikana
Mpaka upate ndio unaomba kuondoka ,ni sawa unafanya kzi then ukaenda kufanya interview nyingine.
 
Nakusoma taratibu.
Hahaha ka wewe ndiyo Gambo basi ujue huna akili bosi wangu, na hauna ushawishi hapo Arusha. Tatizo lako inawezekana likawa na kiroho zaidi sikuoni kabisa ukifanikiwa, uswali/usali sana kuomba neema ya Mungu.
 
Haikuwa sababu ya kugombana, Bali kusudio la kuusaka ubunge.
Jpm kwenye hili alikuwa hajali who is who and what. Unazingua? Kazi yako ni ku deal with personal things? Uko out

Serikal ya jpm niliikubali kuwa na zero tolerance kwa mambo ya kitoto kwma hayo
 
Kwa miongozo ya utumishi wa umma,Mtumishi wa umma kama mwalimu haifai kujiingiza kwenye siasa, kama huyo mke wa Gambo angetaka kugombea ubunge ama udiwani basi anapaswa kuandikia barua mkurugenzi apewe likizo bila malipo single kwenye siasa sio kukurupuka kupanda majukwaani namna ile.
True but tatizo ni CCM angalia polisi wanavyovunja katiba.

Tatizo ni ccm
 
Heshima sana wanajamvi,

Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto.

Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda.

Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo.

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.

Mke wa Gambo sasa ni Mwalimu wa kawaida na ameshapangiwa vipindi vya kufundisha na vifaa vyote muhimu ikiwemo chaki,fimbo & kifutio cha kufuta ubao.

Ngongo kwasasa Monduli.
Tatizo ni sisi Maskini tunaangalia vita ya mabilionea wawili wakitetea ugali zao...Ehhe Mungu utupe mkate wetu wa kila siku, Amina.
 
Back
Top Bottom