Nashukuru Lowassa hakufa huko Izrael, maana ingelitokea akafa na kuzikwa na siku ya tatu akafufuka akiwa more powerful, hapo tungelikwisha.
hiyo hela ni ndogo sana. hapa tumlaumu Lowasa kwa kula hela, ila mkewe hana kosa. mkewe ana kosa gani? mwizi ni mumewe, yeye amefanya nini? namfagilia kwa kwenda israel nchi ambayo mimi naipenda na kuithamini kuliko hata tanzania.
Ingekuwa vizuri Mama Regina Lowassa angeandika kitabu kinachoelezea jinsi mumewe alivyoanza ufisadi na ujambazi nchini Tanzania na ni kwa kiasi gani ameweza kuwaibia watanzania na kujitajirisha yeye binafsi na familia yake.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Kardinali Pengo, bila kufafanua, aliwataka Watanzania waache tabia ya kusulubiana. Yesu alikuja duniani, akasulubiwa na hadi leo watu wanaendelea kusulubiana. Tuache mchezo huo, alisema.
Hii ni kauli ya hatari sana kutoka kwa kiongozi wa kidini. Kwa literal interpretation anatuambia mafisadi wakiiibia nchi tunyamaze. This is very dangerous!
Mkuu Dr na post zako zaidi ya 2000 JF una vitabu zaidi ya 80
Hii kauli ni ya kifisadi. Kiongozi anayesimama kwenye nafasi ya Musa huwezi kutoa matamshi kama haya.
Aibu na fedheha kwa waumini wake!
..Kwani hizo fweza alizokwiba Ngoyai hazijatumika na Regina?? Ushasahau sheria inavyosema kuhusu kutumia au kuhusika na mali iliyokwibwiwa?......JF mnamsulubu Regina kwa dhambi ya Edward....