Mke wa Lowassa azindua kitabu

Mke wa Lowassa azindua kitabu

Lengo sio kuzindua kitabu, lengo wengi mmelitaja ni mwanzo wa safari ya Ngoai Lowasa ambayo kwa sasa inaonekana fupi ya kurudi kwenye system. anajua aki-win watu wa dini (maaskofu) obviously hata waumini ni likely atawa-win. Cha Msingi pamoja na yote hayo "Mali zetu Arudishe mbona tutamsamehe!!!"
 
Mimi hata sielewi.. hicho kitabu kinahusiana vipi na kujiuzulu kwa Lowassa? Je kina habari zozote za jinsi Lowassa alivyofikia uamuzi wa kujiuzulu, mazingira ya nyumbani, alipokeaje n.k.. kwa sababu hii habari ya kujiuzulu kwa Lowassa inaingizwa kwenye stori hii bila msingi wowote. Kitabu kinahusu safari yao ya hija kule Israeli na yale ambayo Bi. Lowassa aliyaona. Hakielezei yaliyotokea Dodoma.
I beg to differ Mkuu Mwanakijiji,katika mahojiano Mama Lowassa alieleza na kusisitiza kwamba walikwenda Hijja BAADA ya valangati la Richmond ili kushusha pumzi.Hivyo ni wazi safari ya Israel iko related na kashfa ya Richmond kwa maana kwamba yasingetokea ya Richmond wasingekwenda. La pili linalohusisha uzinduzi na kashafa ya Richmond ni pale Baba Askofu aliposisitiza dhana ya KUSAMEHEANA,sasa Baba Askofu alikuwa anataka nani asamehewe Mama au Mzee Lowassa na kusamehewa kwa kosa lipi?
 
Mke wa Lowassa azindua kitabu
Nadhani ni kujikosha na kujikomba kwa wadanganyika, na kweli si unaona jinsi viongozi wa dini walivyo danganyika? Wameambiwa uzinduzi wa kitabu kumbe kijarida!
Any way! Ingekuwa safari hii imefanyika kabla ya kashfa ile ya RICHMIND {RICHard MONDuli} kisha kitabu kika zinduliwa wala nisinge shangaa sana! Lakini sasa hivi ni too late to catch the morning bus, you just wait for evening Lorry! Ushauri wangu kwenu yaani ni bora hizo pesa za ufisadi mkala na Wasiojiweza, watoto yatima, wagonjwa na wafungwa magerezani! May be kidogo italeta sense, other wise eeeh!
 
Mimi hata sielewi.. hicho kitabu kinahusiana vipi na kujiuzulu kwa Lowassa? Je kina habari zozote za jinsi Lowassa alivyofikia uamuzi wa kujiuzulu, mazingira ya nyumbani, alipokeaje n.k.. kwa sababu hii habari ya kujiuzulu kwa Lowassa inaingizwa kwenye stori hii bila msingi wowote. Kitabu kinahusu safari yao ya hija kule Israeli na yale ambayo Bi. Lowassa aliyaona. Hakielezei yaliyotokea Dodoma.

Mkubwa umenena neno....

Sina hakika ni kwa kiasi gani hukumu anayopewa Regina inaendana na kosa la kuwa mke wa lowassa au kama alijiingiza kwenye mambo ya kifisadi...

Lets give her chance... its only a diary
 
mwacheni mungu aitwe mungu. Naamini na ninakubaliana na familia ya Lowassa. Siasa inabaki kuwa siasa na mungu ni mungu lakini ni nani zaidi ya Mungu? Edward Lowassa atarudi ktk siasa zetu tena kwa nyota kali kuliko mnavyodhani. Mungu ambariki sana na adumu ktk unyenyekevu huo.
 
It is after all, a forty one page diary. Not bad at all. Why did everybody believe that 15 page yarn! Ni kumsulubisha Regina kwa dhambi ya mwandishi wa habari!

The Lowasas have money other than what Edward may or may not have taken from the people. Is it not possible that they used those funds to visit the Holy Lands?

Kosa la Kardinali Pengo, Askofu Malasusa na viongozi wengine wa dini waliohudhuria hiyo hafla ni lipi hasa? Ni kosa kwa Askofu kuhudhuria sherehe ya muumini wake ya kuzindua kitabu cha dini?

Sidhani kama Kardinali alimaanisha watu wanamsulubu Mheshimiwa Lowasa “kwa dhambi ya wengine” kama baadhi yenu mnavyosema. Alimaanisha kwamba wako watu wanaomsulubu Mama Regina kwa “dhambi” ya wengine (possibly Edward).

Wanandoa ni mwili mmoja lakini sio roho moja. Akitenda dhambi mmoja sio kwamba wote wametenda dhambi. Kwa mfano, mmoja anaweza kuwa mwasherati wakati mwenziye hana hiyo dhambi.

Be humble fellows and apologies for all the nasty things that you have said about this woman of God.

Moshi:

Sina sababu ya kuwa humble wala ku-apologies. Mwambie siku nyingine akiona watu wanamsulubu, aende Muhimbili tu akaangalie jinsi watu wanavyobeba misalaba laivu.
 
Ndugu zanguni ni kwamba, hicho kitabu kwa page 15 ni sawa kabisa kulingana na theme yenyewe, yaani ya kutaka kujitakasa, yaani kuandika ya utakatifu wao. Hii ina maana kuwa utakatifu wao ni mdogo sana, hata hizo page 15 wamefoji. Nafikiri half a page inatosha. Ila kama wangekuwa wanaandika juu ya ufisadi wa huyo mume the white hair na wizi wake na madili machafu, for sure tungepata encyclopedia volumes kadhaa ambazo mataifa ambayo yanataka kujisafisha basi yangechukua hizo volumes kwa ajili ya kujifunza the highest mbinu za ufisadi ili waweze kutengeneza mkakati wa kuondokana na ufisadi wenyewe. Kwa mantiki hii, tunamkaribisha mama white hair aandike a vice versa volume, nafikiri atachukua muda mrefu kutoa hizo volume!!!

Naamini Fred Lowasa na watoto wengine wa fisadi Lowasa wako humu, au tusesme ndugu na marafiki wa karibu. Tunawaombeni mpeleke concern zetu kwa wazazi wenu. Mmekua mkifurahia maisha ya juu kumbe ni kutoka na dirty sources za baba yenu. Tunaomba kupitia matokeo ya ufisadi wa baba yenu, uwape changamoto ili msije mkafanya the same envils kama yeye. Ombeni laana hiyo isiwafike ninyi wala watoto wenue Mungu atakaowajalia.
 
Pengo na maaskofu wengine wanahitaji kujifikiria kabla ya kupokea mialiko ya namna hii, maana huenda wakawa wanajisulubisha wenyewe!! This is absurd!!!
:

Wao ni watumishi wa Mungu, na wako kuwakusanya kondoo waliopotea hata kama wataalikwa kwa jambazi wao hawana budi kuitikia kwani ni kazi yao ya kuwarudisha kundini waliopotea.
 
:

Wao ni watumishi wa Mungu, na wako kuwakusanya kondoo waliopotea hata kama wataalikwa kwa jambazi wao hawana budi kuitikia kwani ni kazi yao ya kuwarudisha kundini waliopotea.

Ni sawa unachosema ila kinachokera kwa nini wafike huko na waanze oo watu wanasulubiana?hayo maneno pale hapakua mahali pake,wao wasijiingize kwenye mambo ya siasa,siasa ni ya wanasiasa.
 
:

Wao ni watumishi wa Mungu, na wako kuwakusanya kondoo waliopotea hata kama wataalikwa kwa jambazi wao hawana budi kuitikia kwani ni kazi yao ya kuwarudisha kundini waliopotea.

That is totaly wrong!!!!!!

Kinachotizamwa sio mkusanyiko wa kimungu uliofanywa na viogozi wa dini ya ki Kirstu.

NI IMPACT TO THE COMMUNITY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Itakuwa kweli imamuwakilisha Kikamilifu LOWASA na Mkewe REGINA katika Makosa yao??

Viongozi wa dini wanapaswa kujua kuwa Vivuli vyao vinawezakutumiwa vibaya kabisa mbali na kuwa wanapaswa kumuwakilisha Mungu hapa duniani. Na wanapogundua hilo nilazima wakatee na wapinge kutumika isivyopaswa.

Kama Jambazi atabakia kuonerkana kuwa jambazi baada ya Mkusanyiko huo the wakutanenayena baada ya hapo jambazi apelekwe mahakamaini na sherea dhidi yake ichukue mkondo.

Kama jambazi atapoteza Ladha yake Ya ujamabzi mbele ya jamii kwa kuoshwa isivyopaswa kwa mkutano then viongozi wa dini wamefanya isivyopaswa!!

Kama jambazi atabadilika moyoni na kuwa mtu mpya..THEN watuletee uhakikisho.

VIOGOZI WA KIDINI

wangeagalia picha kwa urefu na upana wake.

Kwenye final analysis

Lowasa atakuwa amepata USAFI asio stahili bila kikabiliwa kisheria?That is not good.

Lowasa na mkwewe wange kwenda kutubu Kanisani na kuachana na chenga kupitia vijitabu...Hakuna ambaye angehoji!!

Kama mioyo yao imebadilika na wanataka kutumia DINI NA MUNGU WAO that should have been totaly n their Churches na kuacha Kumuigiza Mungu ndani ya Siasa duni.
 
Jee nikiuliza, kanisa katoliki linataka kusafisha au lina safisha mafisadi ntakosea? au ndio hayo ya kuungama?

Udini utakuua wewe..

Yaani kwa sababu anayeongelewa hapa ni Lowasa, kwako wewe ni fisadi ila Rostam si fisadi sio?
 
viongozi wa dini wanasimama kwenye neno...."Yesu hakuja kwa ajili ya wasio na dhambi bali alikuja kwa ajili ya wakosaji""".....hata pale alipoenda karamani wakasema "tazama anacheka na kula na makahaba na watoza ushuru...."....tazama alipomwambia zakayo mfupi ..alipopanda mtini kumwangalia.."zakayo shuka mtini ...tazama nitakuwa nyumbani kwako pamoja nawe leo hii...".. walipokuwa wanakula huku waandishi na wanasheria wakishangaa zakayo akasema .."bwana tazama mali yangu yote nawapa maskini..na tazama kama kuna mtu nimemdhulumu nitamrudishia mara dufu....

wakristo viongozi wao hawatendi kadiri ya matakwa ya mataifa au yeyote wanatenda tokana na maandiko..kama walivyo viongozi wote wa dini..,dini ya kikristo haihubiri kisasi wala jino kwa jino...

kwa maana hii viongozi wetu wa dini hawawezi kuwatenga mafisadi...au kwenda kuwatembelea wakosaji kwa siri usiku ...wanaenda mchana kweupeeeeeee......na huwezi juwa kuwa labda lowassa naye alitubu pale na kuwaambia..."Tazama mali yangu yote nawapa maskini na kama kuna chochote cha watanzania nimechukuwa nitawarudishia na ziada"..just thinking aloud..

kwa waliomuelewa pengo kardinali akiongea akijuwa watu watasema alisema ..."nimekubali kwa furaha kuja na nitaendelea kuja na kuja tena"....hilo ni jukumu la kiuchungaji...,

nawapongeza maaskofu malasusa na kardinali pengo!!!!
 
Ameen Ameen

Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano, kuliko tajiri kuuona ufalme wa Bwana.
 
Jamani ninachokiona mimi kuhusu the so called kitabu a.k.a kijarida hicho ni jeuri nyingine ya EL kwani kauli yake haionyeshi kutubu bali inatoa picha ile ile ya siku aliyotangaza kujiuzuru- kwamba kaonewa!!
 
mada hii MOD naomba iunganishwe na ile ya PENGO AIOMBE FAMILIA YA LOWASSA...maana yote hii ilikuwa ni tulio moja.....
 
Hongera familia ya Lowassa kwa kuokoka na kumrudia muumba wenu.ila zile mali zilizokusanywa isivyo halali kwa ujumla wake wapeni maskini na wahitaji ili mungu azidi kuwabariki zaidi

tutakitafuta hichi kijarida cha msiwasulubu watu,tukisome halafu tutatoa mawazo yetu

bwana asifiwe

mungu au Mungu (god or God) respectively. Haya maneno yana maana tofauti. Sasa sijui ulimaanisha yupi?
 
..kwani ameandika nini kwenye kitabu chake?

..nadhani tunakuwa na haraka kidogo kuhukumu kabla ya kusoma kitabu chenyewe.

Nani alikisoma hiki kitabu? Kinapatikana wapi?
 
Anasema

" Baada ya kupata Matatizo hayo aliamua kumgeukia Mungu"

Kwahiyo asingepata Matatizo hakuwa na mpango wa kumgeukia Mungu?

Kumbe KABLA hajapata hayo Matatizo alimpa kisogo Mungu?

Nilikuwa natafakari TU.
 
Back
Top Bottom