Mke wa Lowassa azindua kitabu

Mke wa Lowassa azindua kitabu

Lengo sio kuzindua kitabu, lengo wengi mmelitaja ni mwanzo wa safari ya Ngoai Lowasa ambayo kwa sasa inaonekana fupi ya kurudi kwenye system. anajua aki-win watu wa dini (maaskofu) obviously hata waumini ni likely atawa-win. Cha Msingi pamoja na yote hayo "Mali zetu Arudishe mbona tutamsamehe!!!"

Mkuu mbona mzew kachoka sana kuwa hata mjumbe ?
 
Back
Top Bottom