Mke wa Lowassa azindua kitabu

Hicho kitabu cha kurasa 15 kina chapters ngapi? Kwi kwi kwi!
Usikute ni makosa ya mwandishi...Mimi nadhani its more politics,na kimeharakishwa sana kabla ya 2010 na mara tu baada ya resignation ya wadhifa wake wa uwaziri mkuu...Kuandika kitabu huchukuwa muda,na kwasababu muda ni mfupi kutoka time aliyojiuzulu,kwenda Israel na hadi uchaguzi mkuu 2010,basi si ajabu wameamua kuchapisha na ku publish baada ya kurasa 15 tu...Wenye uwezo watuwekee copy hapa ama walau summary maana sidhani kama ni big deal ukizingatia kurasa 15 bila double spacing siyo mbaya.
 
Mhmmm!! yaani viongozi woote hao wa dini walikuwepo kuzindua kitabu cha Page15 !? Msisulubu watu!? Lowasa kama umeokoka naomba urudishe mali zoote ambazo unaona hujapata kihalali ndipo nitajua kweli umeamua kuacha mali na fedha na kumfuata Bwana.
heee heeee heeee!
 
Ingekuwa vizuri Mama Regina Lowassa angeandika kitabu kinachoelezea jinsi mumewe alivyoanza ufisadi na ujambazi nchini Tanzania na ni kwa kiasi gani ameweza kuwaibia watanzania na kujitajirisha yeye binafsi na familia yake, nina uhakika hiko kitabu kingekuwa na kurasa zaidi ya 1000 lakini hii ya kusema sijui wamesulubiwa ndio maana hakuwa hata na maneno ya kujitetea akaishia na kurasa 15 ambazo freshman yeyote huandika kwenye term paper.

Muda umefika kwa Kadinali Pengo, Mchungaji Mwakasege na Askofu Makalasusa kubadilisha title zao na kuanza kujiita Fisadi Polycarp Pengo, Fisadi Christopher Mwakasege na Fisadi Alex Malasusa. Hizi titles zinawafaa kabisa hawa wachungaji kondoo wa kifisadi.
plz viongozi wa dini wanahitaji respect, angalau ktk majina yao.Walienda kuzindua kitabu cha Regina na si Lowasa.
 
plz viongozi wa dini wanahitaji respect, angalau ktk majina yao.Walienda kuzindua kitabu cha Regina na si Lowasa.

Sitompa respect mtu yeyote yule ambaye anatetea na kukumbatia mafisadi, wawe viongozi wa kidini au serikali, Regina na Lowassa ni kitu Kimoja hence Regina Lowassa.
 
Mhmmm!! yaani viongozi woote hao wa dini walikuwepo kuzindua kitabu cha Page15 !? Msisulubu watu!? Lowasa kama umeokoka naomba urudishe mali zoote ambazo unaona hujapata kihalali ndipo nitajua kweli umeamua kuacha mali na fedha na kumfuata Bwana.

Lusajo, Huu ni usanii mwingine mkubwa nchi mwetu. Kabla ya kugundulika kama ni fisadi alikuwa hajui kama kuna Mungu sasa anajifanya mcha Mungu wa kupindukia!! Na hao viongozi wa dini wanampokea bila hata maswali!!!! Mkapa naye siku hizi ni mcha Mungu wa kupindukia baada ya kutufisadi Watanzania. Mapadri na Masheikh wanatuangusha sana katika vita hivi dhidi ya mafisadi.I hope kutakuwa na angalau kurasa chache za kuhusiana na ufisadi wa mumewe, vinginevyo ni WIZI MTUPU!
 
Ingekuwa vizuri Mama Regina Lowassa angeandika kitabu kinachoelezea jinsi mumewe alivyoanza ufisadi na ujambazi nchini Tanzania na ni kwa kiasi gani ameweza kuwaibia watanzania na kujitajirisha yeye binafsi na familia yake, nina uhakika hiko kitabu kingekuwa na kurasa zaidi ya 1000 lakini hii ya kusema sijui wamesulubiwa ndio maana hakuwa hata na maneno ya kujitetea akaishia na kurasa 15 ambazo freshman yeyote huandika kwenye term paper.

Muda umefika kwa Kadinali Pengo, Mchungaji Mwakasege na Askofu Makalasusa kubadilisha title zao na kuanza kujiita Fisadi Polycarp Pengo, Fisadi Christopher Mwakasege na Fisadi Alex Malasusa. Hizi titles zinawafaa kabisa hawa wachungaji kondoo wa kifisadi.

Mkuu nadhani hapo hata wewe umepotoka,Kutokubaliana nao katika kuitikia mwaliko waliopewa na familia ya Lowasa hakutupi uwezo wa kwadhalilisha kiasi hicho bila kujua lengo hasa lilikuwa nini. Hata hivyo tukipata kilichoandikwa katika hizo kurasa 15 ndio mjadala utakuwa mtamu zaidi.
Kurasa nadhani sio hoja sana maana hata kitabu cha BULICHEKA kilikuwa na kurasa 12.
 
[/SIZE][/COLOR]

Mazee sidhani kabisa kama nimepotoka, naamini kabisa mtetea mafisadi nae ni fisadi, hawa viongozi wa dini nadhani wanaelewa fika ujambazi na ufisadi wa Lowassa na wao bila ya aibu wakaamua kwenda kubariki uzinduzi wa hiki kitabu na wengine hadi kufikia kukemea mambo ya kusulubiana yanayoendelea nchini akimaanisha kama vile Lowassa ni mtu safi ambaye amechafuliwa na wabaya wake. Sijawadhalilisha kabisa nadhani wenyewe ndio wamejidhalilisha mbele ya jamii ya Watanzania kwa kuamua kwenda kubariki kitabu cha Mke wa Fisadi Lowassa hasa ukichukulia wao ni viongozi wa dini wanaoheshimiwa nchini.

Msimamo wangu wa kupinga wote wanaotetea mafisadi hautobadilika hata huyo mhusika awe Kadinali, Sheikh Mkuu, Mchungaji, Rabbi au Askofu. Fisadi ni Fisadi tu na mnatetea mafisadi nae ni fisadi tu.
 
Nini cha ajabu alichoandika cha kuwafanya hata viongozi wa dini wahudhurie tena bila woga. Siku ya pasaka walitoa wito pembe zote za tanzania namna mafisadi wanavyotakiwa kujirudi na kumrudia mungu sasa leo wanahudhuria sherehe za watenda dhambi eti kuzindua kitabu.Viongozi wa dini mnafaidika na huu ufisadi msitufanye sisi watanzania ni mbumbu mzungu wa reli. acheni kutuyumbisha na kauli zenu za kulamba peremende.Enezeni neno la mungu kazi mliyopewa na mwenyezi mungu mambo ya ulimwenguni waachieni walimwengu wenyewe ama sivyo nanyi mtakuwa na makubwa ya kujibu mbele za mungu.
 
Lusajo, Huu ni usanii mwingine mkubwa nchi mwetu. Kabla ya kugundulika kama ni fisadi alikuwa hajui kama kuna Mungu sasa anajifanya mcha Mungu wa kupindukia!! Na hao viongozi wa dini wanampokea bila hata maswali!!!! Mkapa naye siku hizi ni mcha Mungu wa kupindukia baada ya kutufisadi Watanzania. Mapadri na Masheikh wanatuangusha sana katika vita hivi dhidi ya mafisadi.I hope kutakuwa na angalau kurasa chache za kuhusiana na ufisadi wa mumewe, vinginevyo ni WIZI MTUPU!

Son:

Wa galimoto ndi wa galimoto, wa wilibala ndi wa wilibala. Hiyo ni proverb kutoka Malawi. Yenye maana wenye magari (galimoto) watazungumza na wenye magari (galimoto), wenye matoroli (wilibala) watazungumza na wenye matoroli (wilibala).
 
Hicho kitabu cha kurasa 15 kina chapters ngapi? Kwi kwi kwi!
Usikute ni makosa ya mwandishi...Mimi nadhani its more politics,na kimeharakishwa sana kabla ya 2010 na mara tu baada ya resignation ya wadhifa wake wa uwaziri mkuu...Kuandika kitabu huchukuwa muda,na kwasababu muda ni mfupi kutoka time aliyojiuzulu,kwenda Israel na hadi uchaguzi mkuu 2010,basi si ajabu wameamua kuchapisha na ku publish baada ya kurasa 15 tu...Wenye uwezo watuwekee copy hapa ama walau summary maana sidhani kama ni big deal ukizingatia kurasa 15 bila double spacing siyo mbaya.

Kuna vitabu pale Toys R Us vina kurasa mbili tu kwa ajili ya watoto wanaojifunza kusema.
 
Haki itakuwa imetendeka iwapo tutaona maudhui ya kitabu cha huyu mama,hapo ndipo epembuzi utanoga!
Hata hivyo tunashukuru kwa kuwa tumeweza kuanza kujadili kitu kinachoitwa "unintended consequences" za uchapishji wa kitabu/kijarida?
 
Mke wa Lowassa azindua kitabu

Na Mwandishi Wetu,
MTANZANIA, Aprili 15, 2009.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Kardinali Pengo, bila kufafanua, aliwataka Watanzania waache tabia ya kusulubiana. “Yesu alikuja duniani, akasulubiwa na hadi leo watu wanaendelea kusulubiana. Tuache mchezo huo,” alisema.

............ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa, sasa hawa watumishi wa Bwana wanafurahisha. Kwa maelezo haya basi hawana sababu ya kukemea waumini tusitende dhambi kwani Yesu aliteswa kwaajiri ya dhambi zetu so tulisha kombolewa tuendelee kutenda dhambi za aina yoyote. LoL!
 
Afanyaje maskni Lowasa!
Kajiona anasulubiwa, akakimbilia huko alikosulubiwa Yesu!
Angetunga yeye mngemtukana ya maungoni, kamtowa muhanga Mrs. hamumwachi, katumiya Kimombo kwakuwa anawa adress scholaric flock, page 15 mnapiga kelele, jee lingekuwa voluminous!

Kweli, hamridhishiki, ndio Pengo and others heard kilo chake na waja kumrescue!

Lakini pia, Lowassa is potraying his influence on religous personel, so beware! fear me! got long tanticles inspite being dubbed FISADI!
 
Hicho kitabu kinapatikana wapi? mwenye nacho tafadhali kiscan tuone Mama Lowasa alifunuliwa lini huko Yerusalemu ya Uyahudi
 
Muda umefika kwa Kadinali Pengo, Mchungaji Mwakasege na Askofu Makalasusa kubadilisha title zao na kuanza kujiita Fisadi Polycarp Pengo, Fisadi Christopher Mwakasege na Fisadi Alex Malasusa. Hizi titles zinawafaa kabisa hawa wachungaji kondoo wa kifisadi.
Hakuan watu wanafiki tanzania nzima kama hawa watu.....ni wanafiki wa kutupwa....sasa kauli ya pengo ina maana gani?

....alafu hawa jamaa wanakula sadaka yetu wanatalii na mashangingi V8 kwenda kufanya unafiki wao huku sisi tunaumia jumapili tutoe zaidi.....
 
Hivi walikwenda kwa kutumia pesa zetu kungama?

Ee Bwana, wakubaliye toba zao!
Akhsanteni viongozi waDini, but dint R.A. acompny them!
 
Yaani mimi badala ya kukwazika na LOWASA nimekwazika sana na hawa maaskofu.

Yaani aliyeniona wakati naangalia ile taarifa kwenye TV angenihurumia sana.
Nilijiinamia kama nusu saa huku machozi yakinilengalenga bila kuamini nilichokuwa nimekiona kwenye TV.

Haya makanisa jamani yanaelekea wapi?!!!!!!!!!!!???????????

Swala la DECI na Maaskofu Matapeli halijaisha linaingia jingine.

Hakika huu ni msiba mkubwa sana kwa kanisa. Harafu ukaungame kwa Pengo??? Shiiiit. Inatia kinyaaa kwa kweli.
 
hiyo hela ni ndogo sana. hapa tumlaumu Lowasa kwa kula hela, ila mkewe hana kosa. mkewe ana kosa gani? mwizi ni mumewe, yeye amefanya nini? namfagilia kwa kwenda israel nchi ambayo mimi naipenda na kuithamini kuliko hata tanzania.

...Doesnt 'watakuwa Mwili Mmoja' hold no meaning anymore??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom