heee heeee heeee!Mhmmm!! yaani viongozi woote hao wa dini walikuwepo kuzindua kitabu cha Page15 !? Msisulubu watu!? Lowasa kama umeokoka naomba urudishe mali zoote ambazo unaona hujapata kihalali ndipo nitajua kweli umeamua kuacha mali na fedha na kumfuata Bwana.
plz viongozi wa dini wanahitaji respect, angalau ktk majina yao.Walienda kuzindua kitabu cha Regina na si Lowasa.Ingekuwa vizuri Mama Regina Lowassa angeandika kitabu kinachoelezea jinsi mumewe alivyoanza ufisadi na ujambazi nchini Tanzania na ni kwa kiasi gani ameweza kuwaibia watanzania na kujitajirisha yeye binafsi na familia yake, nina uhakika hiko kitabu kingekuwa na kurasa zaidi ya 1000 lakini hii ya kusema sijui wamesulubiwa ndio maana hakuwa hata na maneno ya kujitetea akaishia na kurasa 15 ambazo freshman yeyote huandika kwenye term paper.
Muda umefika kwa Kadinali Pengo, Mchungaji Mwakasege na Askofu Makalasusa kubadilisha title zao na kuanza kujiita Fisadi Polycarp Pengo, Fisadi Christopher Mwakasege na Fisadi Alex Malasusa. Hizi titles zinawafaa kabisa hawa wachungaji kondoo wa kifisadi.
plz viongozi wa dini wanahitaji respect, angalau ktk majina yao.Walienda kuzindua kitabu cha Regina na si Lowasa.
Mhmmm!! yaani viongozi woote hao wa dini walikuwepo kuzindua kitabu cha Page15 !? Msisulubu watu!? Lowasa kama umeokoka naomba urudishe mali zoote ambazo unaona hujapata kihalali ndipo nitajua kweli umeamua kuacha mali na fedha na kumfuata Bwana.
Ingekuwa vizuri Mama Regina Lowassa angeandika kitabu kinachoelezea jinsi mumewe alivyoanza ufisadi na ujambazi nchini Tanzania na ni kwa kiasi gani ameweza kuwaibia watanzania na kujitajirisha yeye binafsi na familia yake, nina uhakika hiko kitabu kingekuwa na kurasa zaidi ya 1000 lakini hii ya kusema sijui wamesulubiwa ndio maana hakuwa hata na maneno ya kujitetea akaishia na kurasa 15 ambazo freshman yeyote huandika kwenye term paper.
Muda umefika kwa Kadinali Pengo, Mchungaji Mwakasege na Askofu Makalasusa kubadilisha title zao na kuanza kujiita Fisadi Polycarp Pengo, Fisadi Christopher Mwakasege na Fisadi Alex Malasusa. Hizi titles zinawafaa kabisa hawa wachungaji kondoo wa kifisadi.
[/SIZE][/COLOR]
Mkuu nadhani hapo hata wewe umepotoka,Kutokubaliana nao katika kuitikia mwaliko waliopewa na familia ya Lowasa hakutupi uwezo wa kwadhalilisha kiasi hicho bila kujua lengo hasa lilikuwa nini. Hata hivyo tukipata kilichoandikwa katika hizo kurasa 15 ndio mjadala utakuwa mtamu zaidi.
Kurasa nadhani sio hoja sana maana hata kitabu cha BULICHEKA kilikuwa na kurasa 12.
Lusajo, Huu ni usanii mwingine mkubwa nchi mwetu. Kabla ya kugundulika kama ni fisadi alikuwa hajui kama kuna Mungu sasa anajifanya mcha Mungu wa kupindukia!! Na hao viongozi wa dini wanampokea bila hata maswali!!!! Mkapa naye siku hizi ni mcha Mungu wa kupindukia baada ya kutufisadi Watanzania. Mapadri na Masheikh wanatuangusha sana katika vita hivi dhidi ya mafisadi.I hope kutakuwa na angalau kurasa chache za kuhusiana na ufisadi wa mumewe, vinginevyo ni WIZI MTUPU!
Hicho kitabu cha kurasa 15 kina chapters ngapi? Kwi kwi kwi!
Usikute ni makosa ya mwandishi...Mimi nadhani its more politics,na kimeharakishwa sana kabla ya 2010 na mara tu baada ya resignation ya wadhifa wake wa uwaziri mkuu...Kuandika kitabu huchukuwa muda,na kwasababu muda ni mfupi kutoka time aliyojiuzulu,kwenda Israel na hadi uchaguzi mkuu 2010,basi si ajabu wameamua kuchapisha na ku publish baada ya kurasa 15 tu...Wenye uwezo watuwekee copy hapa ama walau summary maana sidhani kama ni big deal ukizingatia kurasa 15 bila double spacing siyo mbaya.
Mke wa Lowassa azindua kitabu
Na Mwandishi Wetu,
MTANZANIA, Aprili 15, 2009.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Kardinali Pengo, bila kufafanua, aliwataka Watanzania waache tabia ya kusulubiana. Yesu alikuja duniani, akasulubiwa na hadi leo watu wanaendelea kusulubiana. Tuache mchezo huo, alisema.
Hakuan watu wanafiki tanzania nzima kama hawa watu.....ni wanafiki wa kutupwa....sasa kauli ya pengo ina maana gani?Muda umefika kwa Kadinali Pengo, Mchungaji Mwakasege na Askofu Makalasusa kubadilisha title zao na kuanza kujiita Fisadi Polycarp Pengo, Fisadi Christopher Mwakasege na Fisadi Alex Malasusa. Hizi titles zinawafaa kabisa hawa wachungaji kondoo wa kifisadi.
hiyo hela ni ndogo sana. hapa tumlaumu Lowasa kwa kula hela, ila mkewe hana kosa. mkewe ana kosa gani? mwizi ni mumewe, yeye amefanya nini? namfagilia kwa kwenda israel nchi ambayo mimi naipenda na kuithamini kuliko hata tanzania.