Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,583
Hunter kweli ya ngoswe tumuachie ngoswe mwenyewe.Hunter hapo kuna kitu hakipo sawa niamini mimi... Anajua kuigiza balaa... Leo anakuwa ME kesho KE...juzi yenyewe alitoa uzi unaomtambulisha kama ni KE leo kajivika majukumu ya ME....inasikitisha..kuna walakini mahali nadhani sio bure