Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Ngono ipo kichwani sio kwenye nyeti zetu so mtafsiri vizuri utapiga bao
 
Angalia vizuri kama magoli yapo sawa au golini kuna hirizi, pia kagua na nyavu yawezekana zimetoboka so ukipiga shuti mpira unapitiliza.
 
Mpo good?

Nawapenda.

Kama head inavoeleza hapo.

Nimebaini nikitoka nje nanogewa zaidi.

Na pia nikitoka kidogo nje ya ndo nikirudi kwa wife namfeel tena utamu unazidi.

Kwanini?

Vipi, anayekutwa na same situation au related to, atujuze kidogo.

Ushauri wa bure haulipii.

Mnunulie Chupi mpyaa kila baada ya week,mnunulie marashi huyapendayo katika pua yako,uwe una tabia ya kumuogesha mwili mzima huondoa jasho kali,msafishe utupu wake mpaka uhakikishe hakuna utelezi wala uchafu mweupe,mnunulie nguo nyepesi za kulalia,

Muda wote hakikisha anapendeza.

Usipige mechi kila baada ya siku tano.

Acha kabisa uzinzi.

Mwambie staili gani unaipenda na mikato ya mauno gani unapenda.

Ukitoka ukirudi mwambie mke wangu nakupenda.

Baadaye leta mrejesho.
 
Sio wewe ni wanandoa wote wana tatizo hili. Kama ukitaka kuweka heshima kaa mbali na mkeo uwe unaenda weekend tu
 
Unamtafsiri kuwa ni wa kawaida kutokana na kila siku upo nae hata mimi ilikuwa hivyo ila nikaona hii tabia sio nzuri nikaanza kumtafsiri kuwa yeye ndo mrembo pekee maishani kwangu nikatupa manyau yote ya nje kwa sasa mtambo unasimamia show hadi goli 5
Ase hapa kunalakujfunza
 
Ushauri wa bure haulipii.

Mnunulie Chupi mpyaa kila baada ya week,mnunulie marashi huyapendayo katika pua yako,uwe una tabia ya kumuogesha mwili mzima huondoa jasho kali,msafishe utupu wake mpaka uhakikishe hakuna utelezi wala uchafu mweupe,mnunulie nguo nyepesi za kulalia,

Muda wote hakikisha anapendeza.

Usipige mechi kila baada ya siku tano.

Acha kabisa uzinzi.

Mwambie staili gani unaipenda na mikato ya mauno gani unapenda.

Ukitoka ukirudi mwambie mke wangu nakupenda.

Baadaye leta mrejesho.
Hap sijatoka tupu , nimepata tips, japo sio mchafu, hejjejeheeh
 
Sio wewe ni wanandoa wote wana tatizo hili. Kama ukitaka kuweka heshima kaa mbali na mkeo uwe unaenda weekend tu
Yeeees, jaman mlikuwa wapi? Maushauri mzaito haya, asante. I wil work for this
 
shida huyo mchepuko unaonja na cha kuonja siku zote huwa kitamu,hebu mfanye kuwa mke wa pili uone kama hutatafuta substitute yake nayeye
 
Aupendi mkeo. Au anajiweka kama muhuza mkaa. Au mkeo akupendi. Hivyo ajishughulishi Na wewe. Mie wangu kama gwaride la asubui shule. Lazima kulia pooo..... 3 lazima kila baada ya siku mbili.
 
Aupendi mkeo. Au anajiweka kama muhuza mkaa. Au mkeo akupendi. Hivyo ajishughulishi Na wewe. Mie wangu kama gwaride la asubui shule. Lazima kulia pooo..... 3 lazima kila baada ya siku mbili.
Utakuja kuwa hvo utanambia, we c umeoa juz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom