Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
- Thread starter
- #81
Nimeshazungumza na wadodoma so kesho ntakua mwanza kuzungumza na kimwana mwingine mida ya saa 4 asubuh, kama upo mwanza njoo ushuhudie tukio nitawaeleza nitakapofikia,wale wa dom alikuja jamaa mmoja akidai yeye ni mdau wa jf ila getin alimwambiwa aonyeshe kitambulisho cha kazi akawa ana akamaind akaondoka,so kama upo mwanza njoo na kitambulisho chako cha kaz ili getin wasikuzingue,kiukweli huyu wa dom nimependa mapigo yake tunalingana urefu alikuja katupia suti nyeus na miwani,anaendesha BMW wakat mimi cna hata gar,tulikubaliana baadh ya mambo kwenye mkataba usio wa malipo so namalizia kuongea na hawa wawili,kesho huyu wa the rock(mwanza) keshokutwa Dsm,we ukitaka kuamini njoo ntakapokueleza