Mkataba upi unafaa kati ya hii katika kupata mtoto kwa mkataba kutoka kwa wanawake hawa,

weed-we-trust.jpg

kumbe nabishana na mvuta bangi,duh nilikua sijui,
 
halafu Mr Jasusi nilitaka kukupaisha kukupa angalau ujasusi wa takukuru nimegundua kuwa nao huna..... hebu jikumnushe hapa thread yako

HATA HII FEEDBACK YAKO ULOLETA NAYO NI UONGO MTUPU, IMEKAA KUFIKIRIKA TU............... Baada ya kupigwa madongo kule

Duh Mkuu Badili Tabia,full reference manake! I Love JF jamani. Kicheko!
 
Hatimaye ninakanyaga Ardhi ya Dodoma kuzungumza na mwenye e-mail no 3 na ndo ninaelekea hotelini,kama upo Dodoma njoo hapa Saint Gasper Hotel ili uje uwashuhudie hawa raia huku jf wanaofikiri ni utani,
 
Duh!!Kama ni kweli wapo walioandika (though siamini) basi wadada wenye njaa ya ndoa Tanzania ni janga la kitaifa.
at least wanataka ndoa halali na sio kuwa incubator. sijui what will happen mtoto akimaliza kunyonya, wataendelea na ndoa ya upendo au ndio zitaanza visa vya 'nilikuoa nipate mtoto tuu sio mapenzi hivyo sepa zako' na what will happen if akikutana na dada atakayempenda kwa dhati. Kuna complications nyingi zinaznoweza kujitokeza, I can only wait and watch.BTW this will make a great movie/series, shegongo akipita hii thread atapata idea ya mamillioni
 
Duh!!Kama ni kweli wapo walioandika (though siamini) basi wadada wenye njaa ya ndoa Tanzania ni janga la kitaifa.

Hakika ni janga la nchi, though siamin hata kwa bomb la machozi,kwan kama umegundua huyu jamaa ni mtetea hoja,na byanymeans ashinde!hata kwa uongo.
 
Hatimaye ninakanyaga Ardhi ya Dodoma kuzungumza na mwenye e-mail no 3 na ndo ninaelekea hotelini,kama upo Dodoma njoo hapa Saint Gasper Hotel ili uje uwashuhudie hawa raia huku jf wanaofikiri ni utani,

kwa hiyo kila mmoja utakuwa unamzungukia!? Halafu nani kakushauri!?
 
kwa hiyo kila mmoja utakuwa unamzungukia!? Halafu nani kakushauri!?

ukija utakuta wanasheria wa pande zote,mimi mwenyewe na huyo mwanamke kabla ya sisi kuzungumza mambo yetu ,utaweza kupata msos wa mchana na sisi ila hutokuwepo ktk mazungumzo yetu
nataka hawa member waamini nipo sirious
 
Hakika ni janga la nchi, though siamin hata kwa bomb la machozi,kwan kama umegundua huyu jamaa ni mtetea hoja,na byanymeans ashinde!hata kwa uongo.

njoo saint Gasper Hotel kama upo dom kabla ya saa nane ili uamini ninachokizungumza kama pia baada ya kuona haya hutaamini sikulazimish,kama upo mwanza nitaingia saa moja jioni na nitaandika hotel nitakayofikia,nakuja kuzungumza pia na yule wa mwanza
 
at least wanataka ndoa halali na sio kuwa incubator. sijui what will happen mtoto akimaliza kunyonya, wataendelea na ndoa ya upendo au ndio zitaanza visa vya 'nilikuoa nipate mtoto tuu sio mapenzi hivyo sepa zako' na what will happen if akikutana na dada atakayempenda kwa dhati. Kuna complications nyingi zinaznoweza kujitokeza, I can only wait and watch.BTW this will make a great movie/series, shegongo akipita hii thread atapata idea ya mamillioni

kama upo dom au mwanza karimu ushuhudie ninachokieleza watu wanafikiri ni movie lakini nipo sirious
 
Hatimaye mgeni wangu amefika na mwanasheria wake na mazungumzo yataaza baada ya nusu saa,kama upo dom njoo tupate kifungua kinywa ili usiniamini kwa maneno bali kwa kujionea
 
hahahaa jasusi una vituko, anyway una bastola hapo?

hamna chochote na hii ni hotel kubwa so utaakikishiwa usalama wako,karibu kabla ya dak 15 coz nina log out kwa mazungumzo ya dk 30,ila unawezakuja tukapata chakula cha mchana pamoja hapo ndipo utaniamini,ukifika getini utakutana na kijana amevaa kaunda suti nyeusi na miwani ya jua anaitwa jackson atakuleta had chumba cha mkutano
 
Drama of the month hii, l wish angejitokeza hata mdada mmoja kati ya hao 3 naye akatupa updates!

I have been entertained na thread zote 2 kwa ukwelii!
 
Back
Top Bottom